Recent content by dist111

  1. dist111

    Mafisadi yashangaa nyumba ya kwao na Lissu

    Acha kusifia ujinga, Ndo maana wachaga wanaawaaacha mbali, Familia ingejenga hata nyumba ya 50M tu kupahifadh kwao. Yeye, Lissu amekuwa mbunge wa siku nyingi ameshindwa hata kujenga nyumba ya 2 rooms tu. Zama za kuonekana maskini ndo unaipenda nchi zimepitwa. Wekezeni kwenu, na wewe uwe na...
  2. dist111

    Kuhusu hukumu ya Lissu: Dola ina Wanasaikolojia wazuri sana, tuwape heshima akili iliyotumika ni kubwa

    Umeongea vzr saana, Hapo atakata rufaa, watasumbuana na serikali atakuja kushinda kesi baada ya 2yrs. By then anakuwa amechoka, hana nguvu ya kufanya siasa tena, hata akirudi mtaani anakuwa hana madhara. Ndo maana wakati kesi inaanza niliwauliza wana CHADEMA, what is the game plan? ya kususia...
  3. dist111

    Kuacha ualimu serikalini na kuhamia chuo kikuu binafsi

    Omba ruhusa ya bila Malipo ya mwaka, au miaka miwili kutokana na family issues au magonjwa, After 2yrs utafanya maamuzi ya kuacha kazi au la
  4. dist111

    Bandari ya Dar es Saalam yazidi kuweka rekodi mpya ya Shehena

    Wale waliokuwa wanasema bandari imeuzwa wako wapi
  5. dist111

    Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Zamani tulikuwa tunawaita washika pembe, Endelea kushika pembe, wengine waendelee kukamua
  6. dist111

    Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

    Nchi yenye watu 6M, Ikapewa 100B kila mwaka na marekani lazima iendelee, Rushwa, wizi, umalaya upo tu kila sehemu na ndo maana nentanyahu anakesi ya rushwa. So, there is nothing special ni muda mrefu wa pesa za bure za marekani ndo zimewafikiaha hapo
  7. dist111

    Hatukurupuki tukisema Wakristo Tanzania ni 70%+. Mikoa yenye Waislamu wengi ongeza Zanzibar iwe kama mkoa moja wa bara kiukubwa haifiki 25%.

    NI vizuri kwenye sensa ijayo kukawa na kipengele cha dini ya mhesabiwa ili tujue idadi ya wakristo na waislamu
  8. dist111

    Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Dah, Huu mtihani kwelikweli, Ningekuwa mm, ningempeleka mtoto kwa kaka/dada yake Kwanza, mpaka akili ikae sawa na kusamehe usaliti then ndo nijue cha kufanya. Aendelee kuomba mungu, amwezeshe kusamehe
  9. dist111

    Kuwa na mahusiano na mabinti wa vyuoni na walimu wao, njoo ujionee

    Vyuo vya private hivi, Na diploma courses Public universities haya mambo yalishaisha kama si kupungua kabisa Ukiendekeza haya mambo utajikuta unazeeka huna unaloliaccoplish
  10. dist111

    Hodi hodi nimetumwa na mganga, nipe sindano tatu na kipande cha sanda…

    Kweli wanaune tumeumbiwa mateso, Unakuta huyo kimada naye alimloga ili ampate, sasa analogwa tena na njii kuu, hapa hujalogwa kazini (kama wewe ni bossi), na kama unanafasi kauwezo kuna watu kwenye familia wanakuloga pia uwasaidie wao tuu Yaani kwa kweli Mungu atusaidie tu
  11. dist111

    Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Mimi nimeshafanya haaya kwa kizazi changu na kipawa mungu alichonjaalia, I am comfortable wanangu watasoma mpaka madarasa yawabomokee, na wataishi mjini, na kipato cha uhakika hata wasipofanya kazi. Kazi kwako kalagabaho
  12. dist111

    Una miaka zaidi ya 50 halafu unaenda kununua kiwanja kwa Milioni 500. Pesa yako itarudi lini?

    Ajili ndogo utazijua tu, Hawa ndo wenye kichwa kama ubuyu, Ina maana hujui kuwa kila generation inakazi yake kwenye jamii, Wewe endelea kuwaza hivo hivo halafu mtoto wako aje kuokota makopo, kama ndo kazi yake. Maana kwa kizazi kijacho usipocreate Ajira kwa wanao hatakuwa na ajira labda ya...
  13. dist111

    wana JF waislam mtusaidie tukate mzizi wa fitna, je ni kweli tangu mkiwa wadogo mlifundishwa na wazazi, madrasa, au misikitini kutuchukia wakristo ?

    1. Sisi waislamu hatuli kwenu kwa sababu tunajua mnachopika hakijachinjwa vzr, Ndo maana zamani jirani mkiristo anaita mtoto wa jiran muislam amchinjie kuku, ili kumhakikishia kuwa hana shida au yeye pia anakula kwa misingi mizuri. Tukijua kuwa mkiristo nazingatia kulavzr kwa mfano hauli...
  14. dist111

    Serikali ya CCM Leo wamekaa kikao Melia hotel Vienna huku tukijitahidi kubana matumizi ya Serikali. Je hii ni sawa?

    Lazima Tanzania iitwe kwenye vikao vya Atomic, Au hujui kuwa tumempa Mrusi madini, na nguvu kubwa itatumika Mrusi aondoke kuchimba Uranium, Mostly, hivi vikao viko paid na partner countries, ila makamo wa raisi au raisi huwa halipiwi safari zake, ofisi inamlipia
  15. dist111

    Serikali ya CCM Leo wamekaa kikao Melia hotel Vienna huku tukijitahidi kubana matumizi ya Serikali. Je hii ni sawa?

    Trust me, side meetings ni jambo la kawaida, Mara ya kwanza kuliona ilikuwa TICAD7, Wakati wa kikao cha Japan na Africa, nilienda na issue zangu, nikaunganishwa kwenye delegates wa Tanzania katika vikao vya uwekezaji, So rooms zilikuwa zipo za kutosha, wajapani wakijadilinana na watamzania...
Back
Top Bottom