Huu ndio uongozi unaotakiwa! Shaka Hamdu Shaka ameonesha kuwa maendeleo hayaletwi kwa kuwa na vyanzo vingi vya mapato pekee, bali kwa kuwa na viongozi wanaojitambua, wanaofanya tathmini na kusimamia rasilimali kwa uwajibikaji.
Kilosa kukusanya Sh bilioni 8.4 huku ikiwa na uwezo wa kufikia Sh...
Nikimsikiliza Kafulila akizungumzia Human Capital, elimu, uwekezaji na mabadiliko ya muundo wa uchumi, huwa najiuliza swali moja: Huyu bwana angekuwa na nafasi ya kuanza kusukuma mawazo haya miaka 10 iliyopita, Tanzania yetu ingekuwa imefika wapi leo?
Hebu fikiria kama tangu miaka 10 iliyopita...
Nakubaliana nawe kwamba elimu ni msingi wa maendeleo, lakini hapo ndipo unapopaswa kuelewa hoja ya Kafulila. Hakuna anayesema PPPs zichukue nafasi ya elimu. Hoja ni kwamba Serikali inahitaji kutumia rasilimali zake kwa vipaumbele vya msingi kama elimu, afya na maandalizi ya rasilimali watu, huku...
Nakubaliana na hoja hii. Ukweli ni kwamba maendeleo ya taifa hayawezi kutegemea nia njema ya kiongozi mmoja, bali yanahitaji mifumo imara ya utawala, sheria na usimamizi inayodumu hata viongozi wanapobadilika.
Hata hivyo, mifumo hiyo haiwezi kufanya kazi bila uongozi wenye dira, maamuzi ya...
Ninaunga mkono hoja ya msingi kwamba rasilimali za taifa lazima zilindwe, lakini kulinda maslahi ya nchi hakumaanishi kuchelewesha uwekezaji. Mfano ni Msumbiji, iliyochukua hatua kuvutia uwekezaji wa LNG, huku Ethiopia ikitumia mitaji na teknolojia ya China kujenga reli na viwanda. Vietnam nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.