Gazeti la Tanzania daima limeandika leo kuwa Spika Samwel Sitta anaandamwa.Sababu ni kuwa eti amepanga nyumba kwa shilling million kumi kwa mwezi huko masaki wakati tayari ana nyumba aliopewa na serikali huko oysterbay(bahati nzuri naijua hio nyumba ni ile ambayo inaangaliana na nyumba ya zamani...
utakumbuka nilikwambia kuwa sikuwa na uhakika na mwaka 1955 mpaka niulize..na nilipo uliza nikapewa jibu kuwamwaka huu anatimiza miaka 44.ni wazi kuwa nilitoa jibu sahihi kwa njia tofauti....swali la mwezi na tarehe ni 16 september nakumbuka bt nina confirm mahali
Rostam alizaliwa hospital ya mission iliyoko kijiji cha Mwamalwa, mpaka masista watu waliomuhudumia mama yake bado wako hapo hai, katika tarafa ya Bukene wilaya ya Nzega akiwa mtoto wa kwanza wa marehemu Aziz. Aidha babu yake na bibi yake walizikwa wilaya ya Bukene walikokuwa wakiishi tokea...
Jana tarehe 30 april Ndg Subhash Patel kupitia kwa wakili wake Julius Lugazya kawafungulia kesi wahariri na magazeti yao ya nipashe na guardian, wakurugenzi wa radio uhuru na ITV pamoja na mwenyekiti wao Mengi kwa kashfa za kumuita fisadi papa na kudai alipata Mchuchuma kwa mizengwe. Anawataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.