Recent content by di sakho

  1. di sakho

    Ni heri upate mtoto wa kiume shoga au mtoto wa kike kahaba/kicheche?

    Kwanini uweke machaguo mawili tu
  2. di sakho

    Wazee wa Kuchat, ushawahi kutoa boko kama hii?

    🤣🤣🤣🤣 Geuza kibao kinageuzika icho andaa utetezi
  3. di sakho

    Natafuta amplifier used nina 150,000

    Kwa ajili ya speaker
  4. di sakho

    Natafuta amplifier used nina 150,000

    Wakubwa nina 150,000 mwenyewe anayo AMPLIFIER used nataka kuitumia kwenye movies library office.
  5. di sakho

    Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

    Nimejiuliza swali kama hilo. Kwamba hayupo nchini au imekaaje
  6. di sakho

    Wadau hapa sijapigwa na kitu kizito kweli?

    Si umuulize mimba ina miez mingapi
  7. di sakho

    mwanamke kutoka damu kwenye matiti

    Mwanamke akikamua matiti yanatoka damu tatizo nini
  8. di sakho

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Nimekupata mkuu nashukuru kwa ushaur
  9. di sakho

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Hapana sio mimba
  10. di sakho

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Ivi inaezakua tatizo nini kwa binti kukosa hedhi kwa mda wa miezi mitatu Na wakati hana ujauzito Na hana ugonjwa wowote
Back
Top Bottom