Umeandika: Andiko zuri lakini halihalalishi [inasomeka: linahalalisha] nchi kuwa na marais kutoka dhehebu, dini, jinsia, kabila au kanda moja tu. Tukifanya hivyo tutazalisha ujanja ujanja wa mwenye nguvu mpishe na wengi wape. Hicho ndicho chanzo cha migogoro Afrika na duniani. Kuna jamii...
Kuna jambo naona hufahamu.
Oktoba 29 kuna kikosi cha waandamanaji kilikwenda pale kumchukua Lissu.
Kiliuwawa chote.
Wauaji nao baadaye wakauwawa wote pale pale.
Somo: Safari ijayo kuelekea gerezani kumchukua Lissu inaweza kuongozwa na kikosi cha wauaji wa wauaji chenye kuamini katika mafundisho...
Duh!
Makosa mawili yanayofuatana kwa mtindo wa jino kwa jino hayafuti uhalifu wa kusigina uhuru wa raia unaolindwa kikatiba chini ya ibara ya 15(1): "Kila mtu anayo haki ya kuwa huru na kuishi kamamtu huru".
Mnamo mwaka 1967, mwanafalsafa Gerald MacCallum alipendekeza kuwa uhuru haugawanyiki...
Kabla ya kujibu soma hoja yangu yote kwanza kusudi tuweze kwenda pamoja bila kurudia jambo lile lile. Katika attachment yangu nilikwambia hivi:
Naambatanisha makala yote tena hapa chini.
Napendekeza kuwa hoja ya Ezekiel Kamwaga kwenye jukwaa hili la Jamiiforums.com inapuuza uhalisia wa Utekaji wa Kisiasa ("Domestic Hostage Diplomacy").
Kwa sasa utekaji huu unaonekana kutekelezwa kupitia mfumo wa kushikilia watuhumiwa wa uhalifu na kuadhibu wahalifu waliothibitishwa na mahakama...
MPOKEZANO WA UONGOZI, USAWA WA KIDINI, NA MISINGI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Usuli
Insha hii inachambua mjadala kuhusu dhana ya mpokezano wa viongozi wakuu wa nchi baina ya waumini wa Uislamu na Ukatoliki nchini Tanzania, pamoja na pendekezo la kutunga sheria ya kuweka zamu...
Edward Lowasa alikwenda Kanisani na kuomba kura kwa kutumia hoja yako hii.
Tarehe 6 Septemba 2015 siku ya Jumapili mjini Tabora, Lowasa alidai kuwa kwa vile Tanzania tumekwishapata Rais Mkatoliki, na pia tumekwishapata Rais Mwislamu pia, basi, kwa kutumia kanuni ya kupokezana ofisi kidini...
John Heche ni Yohane Mbatizaji.
Anatoa sauti ya mtu iliayo nyikani.
Anatualika kuyatengeneza mapito ya Bwana Mkubwa.
Anawabatiza watetezi wa Utamaduni wa kifo cha haki kwa maji.
Kisha Yule Ajaye atawabatiza kwa ndimi za moto!
Sema Amina!
JOHN WEGESA HECHE YUKO SAHIHI, SERIKALI IMEKOSEA: WAHALIFU HAWANA MAMLAKA YA KURATIBU MCHAKATO WA MARIDHIANO WOWOTE
Hapana. Kina Ezekile Kamwaga, wanajaribu kupotosha hoja ya msingi ya John Heche. Lakini, Heche amegonga kwenye kiini cha tatizo. Mamlaka ya kubadilisha Katiba ni ya Watanzania, na...
Njia mojawapo ya kuthibitisha kwamba mtu anao ukomavu wa kifikra ni uwezo wake wa kutofautisha kati ya hoja na mleta hoja.
Kwa mfano, hata kama mtu hampendi John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, anapaswa kukubaliana na hoja yake ya kukataa serikali kuratibu mchakato wa maridhiano yoyote...
https://youtu.be/yAQ3JG_qY0o
Leo tarehe 24 Novemba 2026, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza masharti ya kushiriki katika Tume ya Maridhiano iliyopendekezwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuratibu mchakato wa marekebisho ya Katiba.
Akizungumza na waandishi wa...
Bro, mawili:
1. Huwa situkani, isipokuwa nikiamua kujibu cyberwarfare.
2. Sijakutisha, nimekwambia ujianda kwa consequences zinazotokana na tabia chafu ya kushambulia mleta hoja badala ya kujielekeza kwenye hoja. Usishangae nikakuondoa kwenye payroll. Remenber, you have a family to feed!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.