Recent content by Desktop

  1. D

    ICC yashinda Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo 2026

    Inakuwaje taasisi kushindanishwa na watu?
  2. D

    Live From Maktaba Kuu ya Taifa Day 3: Closing ya Kongamano la 4 la Maktaba. Mjadala Kuhusu Mafunzo ya Ukutubi, Majumuisho ya Kongamano na Clossing.

    Sekta itaendelea kuwepo, inaweza kuhitaji watu wachache sana kwa sababu ya mabadiliko na maendeleo ya teknolojia. Kujenga utamaduni wa kusoma na kwa njia hiyo kuwa na wateja wa kutosha/kuridhisha katika maktaba zetu kunaanzia kwenye familia zetu. Wazazi tunasoma vitabu? Lengo la kuwa na maktaba...
  3. D

    Heche amjibu Kabudi: Nyie sio HALALI ni HARAMU kwa vile hakuna aliyewachagua

    Nadhani tunatofautiana kutafsiri uchaguzi. Si sahihi kuweka hitimisho la jumla kwamba hakuna aliyewachugua kwa sababu tu wewe hukushiriki uchaguzi.
  4. D

    Heche: Kama hawataki demokrasia na sisi tutaenda kule kuwafungia milija ili wawe na njaa hapa ndani

    Siku ya wazee, wazee hawazungumzi wanahutubiwa kuanzia mwenyekiti wa vijana!!!!!
  5. D

    Tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia TANESCO!

    Taka zigeuzwe malighafi, tuzalishe gesi, umeme n.k. Kuzikusanya tu na kumwaga eneo moja haitamaliza taka mitaani.
  6. D

    Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Kama ambavyo shahidi anakana mahojiano aliyofanya kwenye kituo cha redio kwamba sauti imetengenezwa kwa AI huku akijua anadanganya.
  7. D

    Wachungaji KKT washtushwa uchafu wa Vyoo vya Chuo Kikuu UDOM

    Pole sana kwa changamoto hii. Pamoja na kwamba wanachuo nao wanahitaji mazingira safi na salama, lawama zangu nazielekeza kwa waandaji wa mkutano. Hawakujiridhisha na mazingira kama yanafaa kwa ajili yenu wachungaji? Uwepo wenu kwenye mkutano ni hisani kwamba hamuwezi kupata sehemu nyingine...
  8. D

    Heche: Muulizeni Mbowe viongozi wa CHADEMA wasingemtembelea gerezani angejisikiaje?’

    Sahihi kabisa. Walipokea uongozi wa chama kutoka kwakwe, walitakiwa kuendeleza na si kumlaumu Mbowe kwamba aliwachelewesha. Wanasikika mara kwa mara kwamba wao hawafanyi siasa za udalali kana kwamba mtangulizi alikuwa dalali. Kwakuwa wao ni radicals waendelee na mapambano ili tuone matunda...
  9. D

    PostGE2025 Napinga ushauri wa THRDC wa kuitaka CHADEMA izungumze na Serikali

    Nipeni barua ya utambulisho na umma upate taarifa kwamba nawawakilisha.
  10. D

    PostGE2025 Napinga ushauri wa THRDC wa kuitaka CHADEMA izungumze na Serikali

    Uchaguzi wa 2025 haukuwa wa kwanza na si wa mwisho. CHADEMA wameshiriki chaguzi nyakati zote katiba na sheria zikiwa zilezile. Kwamba kwa kuwa hawakuwa tayari kuzungumza kabla ya uchaguzi si sababu ya kutokuzungumza baada ya uchaguzi. Nchi ni ya mfumo wa vyama vingi. Mmoja kususa hata kama...
  11. D

    PostGE2025 Napinga ushauri wa THRDC wa kuitaka CHADEMA izungumze na Serikali

    Kama wewe ni mkristo soma kitabu cha Ayubu maana inaonekana unamjua shetani kuliko Mungu.
  12. D

    PostGE2025 Napinga ushauri wa THRDC wa kuitaka CHADEMA izungumze na Serikali

    Mazungumzo hayakwepeki. Hata wanaopigana wanazungumza. Kukubali kuzungumza si udhaifu.
  13. D

    Msigwa: Serikali inafanya tathmini ya Tamko la Jumuiya ya Madola kuhusu Lissu, tutawapa majibu

    https://thecommonwealth.org/our-member-countries
  14. D

    GE2025 Bwege: Vyama vyote vya upinzani vilipaswa kuungana kususia uchaguzi kudai reforms

    Kwa idadi ya vyama vya upinzania si tu walitakiwa kuungana kudai reforms bali kuwa na chama chenye nguvu kukabiliana na watawala. Reforms zinaweza kuwepo na mkaishia kugawana kura, sina hakika kama chadema pekee wanaweza kushinda nusu ya majimbo ya uchaguzi hata kama wao ndio watajigeuza kuwa...
Back
Top Bottom