Habari humu,
Mwaka 2024, Majira ya saa 8-9 usiku tulivamiwa na majambazi/vibaka zaidi ya 10. Tukio lililodumu zaidi ya nusu saa bila kupata msaada wowote wa majirani.
Ilikuwa hivi around saa 8 tukiwa usingizini na familia yangu maana nyumba Ilikuwa na vyumba viwili na sebule na jiko. Chumba...
Kwa research yangu ndogo nimekuja kugundua maeneo mengi yaliyotawaliwa kwa kiasi kikubwa na watu kutoka Asia 🌏 ni yanajivuta sana kwenye maendeleo sababu:
1.Watu kutoka Asia huwa hawarithishi teknolojia/elimu/ujuzi hii ni mpaka leo ukifanya kazi kwa wahindi hata waarabu.
2.Wanathamini sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.