Habari wanajamii,
Nimekuwa nikitafakari kuhusu mahusiano, mapenzi na ndoa katika jamii yetu ya sasa. Kuna jambo moja ambalo ningependa tulijadili kwa kina: Je, hali ngumu ya kiuchumi inaweza kuwa sababu kubwa ya kuvunjika kwa ndoa nyingi?
Mwanzo 1:28 (SUV)
“Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.”
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.