Recent content by Deo Corleone

  1. Deo Corleone

    Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gani ili mwana JF amalizie mstari huo

    Ganja kwenye gari yangu,damu kwenye buti yangu,,,,,,,
  2. Deo Corleone

    kuelekea maisha mapya ya mziki, napiga goti kwenu mniozeshe tafadhali, asanteni

    Melo ana watu wengi sana.Huyu naye ni nani?
  3. Deo Corleone

    True story

    Ni rahisi kuwa baba mzazi ila kuwa baba ni kazi-Fid -q It is not easy to be a Son_Michael Corleone
  4. Deo Corleone

    Kwanini sadaka Misikitini inaonekana ndogo kuliko makanisa?

    Hi\o ehemu zote mbili ulienda kufanya nini?
  5. Deo Corleone

    East coast na East zoo kundi gani ilikuwa kali?

    miaka 12 iliyopita. East Zoo kabaki Noorah na Dark master. miaka 30 ya Bongoflava imedhihirisha ECT was the Best
  6. Deo Corleone

    Mkao wa mautamu!!

    Hapa , dira ya 2050 tutaifikia kweli?
  7. Deo Corleone

    Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

    SEKUNDE KUMI ZINATOSHA SANA
  8. Deo Corleone

    HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    kama angevaa wanavyotaka,angepunguzwa? mimi nilivaa kadeti zile ngumu yenye mifuko nyuma nikaambiwa hazitakiwi nikaenda nikanunua suruali ya 5000 nikabadilisha nikaenda kufanya pepa.
  9. Deo Corleone

    HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    kwani kati ya jeans na suruali oficial ipi ni gharam kubwa? angeenda uchi kisa hana nguo ningeukuelewa, mtu kapiga jeans ,Tshirt na Raba ambazo ni bei kubwa kuliko suruali na shati halafu unatetea. hoja yake anasema hawakutoa taarifa wakati wanatoa kila siku hizo taarifa
  10. Deo Corleone

    HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    nina imani unatania. kuna suruali na mashati hadi ya 5000. na hizo taarifa mbona zinatolewa huko instagram,facebook,whatsap cahneel kila kukicha? usitetee ujinga Chief
Back
Top Bottom