Recent content by Denis Alphonce

  1. Denis Alphonce

    South Korea inazalisha chuma kingi kuliko Afrika ya watu bilioni 1.5!!

    you have good message lakin kuna kitu hujakiwaza vema african poverty is techinical poverty not normal poverty hujaelewa
  2. Denis Alphonce

    Hebu Kwanza: Hawa Saudi Arabia Vipi?

    We jamaa fedha za Saudi hata zikiwa nyingi marekana lakin Naami trade volume Kati ya Saudia na USA ni nyingi kuna bidhaa au huduma ambazo Watu wa U SA wanahitaji direct toka saudia
  3. Denis Alphonce

    Open-Source Intelligence: Silaha ambayo Iran Haikulazimika Kuinunua

    Mtu na akili zake Herman Goering ni mtaalamu bwana
  4. Denis Alphonce

    Mpaka sasa, Iran katupia missiles ngapi huko Marekani mpaka aelekee kushinda vita,?

    Kwani chief kabla hatjadili hii maada lengo lako ni kutaka kuelewa au unajibu lako unahitaji kubishan
  5. Denis Alphonce

    Tunaenda kushuhudia Marekani inashindwa vita na Iran. Wachina na Warusi ni wahuni sana

    Una taarifa kuwa Ukraine imepoteza Donbass yote
  6. Denis Alphonce

    Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

    Hamna fact shida hapo ni simu anayoitumia vivo,oppo au huawei
  7. Denis Alphonce

    Wameanza kushituka mbinu ya Putin kuwa muda mrefu vitani, Bulgaria yasitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine

    Ukiangalia juu juu inaonekana hivo ingawaje mambo ni tofauti ni kama vile Ukraine inasemekana kapoteza whole Donbass mbali na Hilo juzi nimepitia kurasa za Dw inaonekana Poland na baadhi ya wafadhili tayari wameishiwa silaha katika ghala lao lakin usiamini sana taarifa za upande wowote vitani...
  8. Denis Alphonce

    Israel imeanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iran muda huu

    Naunga mkono hoja ijapokuwa candidate wote wa republican ni kama wanafana George bw bush na Trump siioni tofauti
  9. Denis Alphonce

    Kitendo Cha Trump kupiga block kwenye mlango wa Hormuz, ni kite iliyosukumwa vizuri

    Ukweli ni kwamba hata yeye anajua consequences za kufanya Hilo ni direct confrontation with china NM
Back
Top Bottom