Recent content by defence

  1. D

    GE2025 Yeriko Nyerere: CHADEMA Imekufa, Kubali kataa nuna lakini huo ndiyo ukweli, Niliwaambia Chama hiki mkimpa Tundu Lissu haitafika miezi mitatu

    Huyu jasusi uchwara kafilisika, Wewe unasema wenzako wamekufa kwasababu wamekataa kuwa MACHAWA :D:D:D:D, Then mmewafunga KAMBA za Mikono ukadhani wata Surrender lakini wapi? The Storm is Coming tutayajua yote yaliyo Behind the Curtain, For the time being let us focus on #NoReformNoElection
  2. D

    PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

    Ajipange kwami hakuna ajuae saa wala siku, Mungu huwa hapangiwi na yeyote, Mwaka huu tutaona Mengi
  3. D

    Tanzania ya Magufuli ilikuwa ya Viwanda. Je, Tanzania ya Mama ni ya nini?

    Awamu ya Mama ni yakuongeza Makalio na Matiti, Fullstop
  4. D

    Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

    Kwa Vichekesho hivi na vingine vyote vifafanavyo na hivi usisite kutembelea www.ccmmaigizo.co.tz
  5. D

    Mtandao wa "Google Search India" watikiswa, Rais Samia akitafutwa kama dhahabu

    Kwa hadithi hizi za Kuchekesha na zingine zote zifafanazo na hizi usihangaike tembele www.ccmmaigizo.co.tz
  6. D

    Tumekatazwa kufanya biashara kwenye Soko la Kimataifa la samaki Ferry

    Anyway wakati wengine walipokuwa wananyanyaswa na vyombo vya Serikali kuwa hawatendi haki , baadhi walikuwa wanatamka kuwa " WAACHWE WANYOOSHWE KWANI WANAIIBIA SERIKALI" na waliyatamka haya baada ya kuaminishwa na WATAWALA, na wengine wakidai " ANAUPIGA MWINGI" hata walipoonywa kuwa hamna...
  7. D

    Dkt. Samizi ashuhudia Serikali ya Rais Samia ikimwaga vyeti vya kuzaliwa bure kwa watoto

    Yaani haya yalitakiwa kuwa utekelezaji wa msingi toka wakati wa Uhuru sasa mnakuja kuyafanya kwa sasa mnawa brtain wash wasiofahamu|? Halafu mnaita maendeleo, Ujunga Mtupu
  8. D

    Kuzuia kongamano la wanaharakati Mwanza ni udhaifa kwa CCM na Serikali

    Kwami ni lini CCM ilikuwa IMARA,
  9. D

    Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

    Mimi nadhani hili kamalizaneni vyumbani kwenu hayatuhusu
  10. D

    Mahita na Kingai si Makada wa CCM kweli?

    Wanaachaje kwa mfano? Ila nakuwa na shaka na ukaribu wa Kiangi na huyu Mtoto wa Mahita, katika namna ya kwamba ukaribu wao, je Kiangi hakuingia kwenye ajira ya polisi wakati wa IGP Mahita akiwa madarakani? na je ni vigezo gani vilitumika kumpandisha mpaka cheo alichonacho cha ACP?
Back
Top Bottom