Recent content by dee da hustler

  1. dee da hustler

    Heslb kwa continous students imefikia wapi?

    Nawew ni ngiry majy ! Huna jipya! Hujui ulisemalo! Mburula weeew!
  2. dee da hustler

    Heslb kwa continous students imefikia wapi?

    Acha kujifanya unajua! Kumbe mshamba tuh! Unajifanya unajua lugha za watu! Ngulldoza weweeee!
  3. dee da hustler

    SMS hizi! Ungefanyaje?

    Akh haaaaaaaaaaaaah haaah
  4. dee da hustler

    Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    Majina yasha anza kuandikwa ! N watu wanaendelea kuandikaaaa! Nenda ofisi za loan board chuo ukaandike!
  5. dee da hustler

    Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    Naingia Mwaka wa pili! Then Ni Mpaka tutakapo fungua chuo!
  6. dee da hustler

    Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    Kwa 2nd year! Matokeo ya mikopo yao bado! Coz mim nastudy udsm! N wao continuing students wameambiwa ni bado! N wanaendelea kuandikisha majina ya wale walio apply mkopo mpaka tutakapo fungua! So ndo watatoa matokeo yao!
  7. dee da hustler

    Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    Umeuliza wapi! N kuhusu continuing student bado hawajasema rasmi! Ndo mana kila continuing student akiandika nama kuangalia mkopo! Anaambiwa not secured! Jus jarib kusubiri! Coz ata cc tunafuatilia icho kitu wanasema badooo!
  8. dee da hustler

    Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    Guyz ayo majina yaliyo toka ni kwa 1st years tuh! So continuing students majina yenu badoooo! Jus keep on waiting! Msije mkachanganyikiwa bureee!
  9. dee da hustler

    Natafuta kubebwa UDSM

    Unataka nikupruvie! Or! Coz nna maboy anasoma kule! So u bttr biliv t!
  10. dee da hustler

    Natafuta kubebwa UDSM

    Kuna gharama za kitambulisho na mambo mengine ya chuo lyk bima ya hospitali! Then na gharama ya hostel! Jus download admission form yao! Inakila kitu kuhusu malipo!
  11. dee da hustler

    Natafuta kubebwa UDSM

    Baada ya tarehe ya kuripoti!
  12. dee da hustler

    Natafuta kubebwa UDSM

    Unaenda kuichukua chuo bob! Utapewa kule kuleeee!
Back
Top Bottom