Recent content by Davives

  1. D

    Natafuta wimbo ASANTE by CHRISTINA MBILINYI

    Tochuku Mbon ujanipa mrejesho kuhusu ule wimbo wa Christina mbilinyi
  2. D

    Natafuta wimbo ASANTE by CHRISTINA MBILINYI

    Tochuku Ntashukuru sana mkuu🙏🙏
  3. D

    Natafuta wimbo ASANTE by CHRISTINA MBILINYI

    Duuuhhh apo mpaka apatikane mtu mwenye anamiliki audio yake ila 2025 kurudi nyuma ulikuwepo
  4. D

    Natafuta wimbo ASANTE by CHRISTINA MBILINYI

    Unaweza kusearch kwenye engines zako tuone
  5. D

    Natafuta wimbo ASANTE by CHRISTINA MBILINYI

    Carasco Putin Naomba kama una audio yake maana nimesearch uko haipo mkuu
  6. D

    Natafuta wimbo ASANTE by CHRISTINA MBILINYI

    Nimeitafuta kote haipo ASA sijui waliishusha
  7. D

    Natafuta wimbo ASANTE by CHRISTINA MBILINYI

    Wakuuu habari za saizi Samahani natafuta audio au video ya wimbo wa uyu dada anaitwa Christina Mbilinyi inaitwa "Asante Jehova". Lyrics zake ni kama ... Moyoo wanguu Hatuwezi kunyamaza Yake ulonitendea , yananitoa machozi Asantee asantee asantee Jehovah...
  8. D

    NATAFUTA MAJINA YA NYIMBO ZA RHUMBA KALI

    🙏🙏🙏
  9. D

    NATAFUTA MAJINA YA NYIMBO ZA RHUMBA KALI

    Umetishaa mkuu
  10. D

    NATAFUTA MAJINA YA NYIMBO ZA RHUMBA KALI

    @Micriyckeel 🙏🙏🙏🙏Umetisha sana fundii
  11. D

    NATAFUTA MAJINA YA NYIMBO ZA RHUMBA KALI

    Mafundi wa rhumba waje wamwage mambo apo
  12. D

    NATAFUTA MAJINA YA NYIMBO ZA RHUMBA KALI

    Powwa naweka sio mdaa mkuu
  13. D

    NATAFUTA MAJINA YA NYIMBO ZA RHUMBA KALI

    Wakuu natafuta nyimbo ambazo Zinamiondoko kama ya nyimbo hizi za rhumba 1. Innos b "avertisement" 2. Fally ipupa "Mh 3. Papa wemba "Emmanuelle" 4. Nyinginezo Yaan rhumba fulani ivi smooth afu solo fulani ivi wakuu Naomba mnitajie majina ya NYIMBO zinazoendanna na izo ziwe old au modern 🙏🙏
  14. D

    ARGENTINA VS EGYPT Post match Analysis

    🤣🤣Kam ww ulivopotez mda kureply apa
Back
Top Bottom