Recent content by David017

  1. D

    Wana jamii naombeni ushauri nifungue wapi duka la hardware

    Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu
  2. D

    Baba anataka anifungulie duka la Hardware, lakini mimi nahitaji aninunulie fuso. Nifanye maamuzi gani?

    Wana jamii mimi ni me 25 nakaa kwa wazazi nasimamia duka la jumla toka nimeanza kusimamia ni miaka 4 kwenda 5, Sasa baba anataka kunifungulia duka la hardware hapa mjini ila nikiangalia maduka ya namna hiyo yapo mengi sana hapa mjini Kuna madogo ya kawaida na makubwa sana kama Kuna hili moja...
Back
Top Bottom