Recent content by Daudjuma

  1. Daudjuma

    PostGE2025 Rais Samia afanye mambo matatu yanayoweza kurejesha Imani ya wananchi kuelekea kwenye maridhiano

    Sahihi mkuu,akijaribu kumws hisha yeyote basi nao wanamwaga ugali mchangani,hapo kila mtu anamsikilizia mwenzie kiaina.
  2. Daudjuma

    Unyang'anyi wa nguvu Maeneo ya wananchi Nyatwali, Serengeti

    Kwan wanaoishi kwenye vijiji hivi ni wakurya tu?
  3. Daudjuma

    Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Tatizo lako ndugu ni ukosefu wa mlo kamili.Yaan wewe na vyeti feki ni kama hawara wa mama yako unavyomchukia.Pia nahisi hata maana ya vyeti feki huijui kutokana na utapiamlo unaokusibu. Ifike hatua uone aibu, Naongea hivi kutokana na mada zako nyingi umekuwa unaonesha hasira dhidi ya hawa ndugu...
  4. Daudjuma

    Uchaguzi CCM Magu: Mwenyekiti aliyemaliza Muda wake ajiuzuru kwa kuacha Maelekezo kwa lugha ya Kisukuma

    Wilaya ya Magu iliyopo Mkoani Mwanza leo trh 02/10/2022 inafanya uchaguzi wake wa kuwapata viongozi wa CCM. Kama ilivyo desturi ya ccm, Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndg Zabron amepewa muda wa kuwashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu na kuombwa na msimamizi wa uchaguzi avunje rasmi iliyokuwa...
  5. Daudjuma

    Rais mstaafu TLS - Mfumo wa Haki Jinai Tanzania uundwe upya, haki ipatikane

    Wewe ulikuwa Rais wa Tls,kwani unachokieleza hukukiona wakati ukiwa Rais?
Back
Top Bottom