Recent content by Daudi1

  1. Daudi1

    PostGE2025 Swali Linalojirudiarudia: Kina nani Wanataka Maridhiano na Kwanini?

    Mpaka inashangaza , sasa si waseme wanataka kuridhiana nini
  2. Daudi1

    Maridhiano baada ya Uchaguzi ni utapeli by Pole pole ni Utapeli tuyakatae

    Swali halina majibu hili
  3. Daudi1

    Sio Siri, Kimtindomtindo na Kimyakimya Wanakubali Kuwa Huyu Mtu Sio Boya Kama Walivyodhani

    Na sasa hivi ndio huyo yuko kulazimisha maridhiano, wakati hana waliyekosana naye
  4. Daudi1

    PostGE2025 Swali Linalojirudiarudia: Kina nani Wanataka Maridhiano na Kwanini?

    Hawajielewi halafu wamesimamisha mpaka mishipa eti Chadema wanajifanya kutotaka maridhiano, Hivi Chadema wanahusika vipi? Si waridhiane na hao wengine?
  5. Daudi1

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Maridhiano fanyeni na hao vyama vingine kwani lazima chadema wawepo, mbo mmefanya uchaguzi na vyama vingine au mambo haya kuenda sawa sawa
  6. Daudi1

    Kwanini matajiri wengi wa kiafrika wakifa na utajiri wao unakufa rasmi?

    Kumbe alikuwa saplaya wa wapi?
  7. Daudi1

    Kwanini matajiri wengi wa kiafrika wakifa na utajiri wao unakufa rasmi?

    Uchawi tu uganga ndio naona huwa unarithishwa
  8. Daudi1

    Kwanini matajiri wengi wa kiafrika wakifa na utajiri wao unakufa rasmi?

    Maji ya Kilimanjaro siku hizi, hayauziki , tofauti kipindi cha nyuma hata Radha yake sio ile, soda, peps zinatoka kuliko cocacola, au zinauzikà wapi mkuu
  9. Daudi1

    Kwanini matajiri wengi wa kiafrika wakifa na utajiri wao unakufa rasmi?

    Mengi ndio kwanza miaka 5 toka ameondoka, pengine watoto wake wakishirikishwa kwenye utajiri wa Baba yao, lakini kampuni haifanyi vizuri kama enzi zake, hatuoni sherehe za kulisha wasiojiweza kila mwaka
  10. Daudi1

    Kwanini matajiri wengi wa kiafrika wakifa na utajiri wao unakufa rasmi?

    Utajiri wa masharti huwa haudumu. Waafrika hatuna utaratibu wa kuwasomesha watoto waendeleze kile tulichoanzisha tatizo kubwa. Ni Africa unasikia baba anakuambia hivi nilivyotafuta ni vyangu na wewe tafuta vyako issue inaanzia hapo mtoto hausiki wala kujishughulisha na mali za Baba yake
  11. Daudi1

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Wa kwangu degree holder mpaka boxa zangu anafua, kuna shida kwani?
  12. Daudi1

    Natafuta mke umri miaka 35 - 40

    Kwanini changamoto ya kisukari?
  13. Daudi1

    Rafiki wa Mume wangu............

    Pumbavu kabisa
  14. Daudi1

    Wanafunzi wa darasa la saba waliopata wastani wa "A" wasambazeni wote kwenye shule za Sekondari za kitaifa nchini

    Ni kweli kabisa sasa mtoto amesoma Masaka na amepiga A zote unampeleka juhudi Jeshini anakutana na mwanafunzi wa shule ya msingi gongo la Mboto mwenye alama B unakata motisha ya watoto kuendelea kufanya vizuri. Mbona zamani ilikuwa inajulikana ukipata alama 150-140 unaenda shule za vipaji...
Back
Top Bottom