Recent content by darubin ya mbao

  1. darubin ya mbao

    Je, Kuandika Ukweli Kunaweza Kugharimu Maisha?

    Ndio gharama ya ukweli yani Kuna watu hawataki kuusikia Kama ulivyo Kitendo Cha Mimi kuwaambia ma bro kua nimemfunga Mzee super Kwake aliona naleta uchochezi na kumfanya yeye kama mkuu wa boma kuonekana kama hana akili
  2. darubin ya mbao

    Jaji Mkuu Masaju tatizo ni kuwa mnawaona watanzania wote ni wajinga! Mahakama iko compromised, si lazima kusoma hukumu kuliona hilo, tumesikiliza!

    Hapo pa kumheshimu pamoja na yote ndio tunakosea Mazee Kama haya yanatakiwa yadharauliwe ikiwezekana yatukanwe kubezwa na kuzomewa kila kona ili iwe mfano kwa wengine
  3. darubin ya mbao

    Je, Kuandika Ukweli Kunaweza Kugharimu Maisha?

    Nimekumbuka nilipokua mdogo Mzee alianza kunifundisha kucheza draft tukawa tunacheza nae akawa kila siku ananifunga kumbe apo na Mimi najifunza mitego yake nabuni na ya kwangu Nikaanza kutoa nae droo mara nikaanza kumfunga Sasa siku moja nikamfunga super (kwenye draft ni kumfunga mtu bila...
  4. darubin ya mbao

    Kurani Tukufu ndiyo kitabu pekee duniani kilicho sahihi na chenye aya zinazoendana na hazipingani zenyewe kwa zenyewe

    Hizo nazo ni ngano tu Tena hizi ni mbaya zaidi sijui ndio zinawafundisha ugaidi
  5. darubin ya mbao

    Kama hii Safina ya Nuhu ni ya kweli atheist wote chali

    Hizo n ngano Kama ngano zingine
  6. darubin ya mbao

    DOKEZO LATRA Wanakamata bajaji na pikipiki na kuwalazimisha madereva kulipa faini 25000

    Hoja ya control number umeiona lakini au umejibu kishabiki tu
  7. darubin ya mbao

    Linda heshima yako epuka tabia ya kuwapigia watu ama kuwatext mara mbili mbili.

    Imetokea tatizo la umeme kukatika usiwapigie Tanesco mara mbilimbili sio kweli
  8. darubin ya mbao

    Senegal: Chama tawala cha PASTEF chamfukuza Rais Faye na wanachama wengine 31

    Huku mkuu wa chama na serikali ni mtu mmoja Na hawawezi kuruhusu Hilo litokee
  9. darubin ya mbao

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Telegram yenyewe Ina kulipia ila kuna namna ya ku bypass na mdau kaomba elfu nane pia kwa ajili ya bando na kubrashia viatu akiwa anatupambania kupata umbea
  10. darubin ya mbao

    Kwenye mfumo wa majimbo Rais ni yule aliyeshinda mikoa mingi na sio idadi ya kura nyingi

    Kwahiyo fair ni wakazi milioni 8 wa DSM kura Yao iwe sawa na ya wakazi laki mbili wa mkoa wa njombe
  11. darubin ya mbao

    Wanawake tu: Ilikuaje siku ya kwanza umevunja ungo?

    Bila shaka itakua inafaa sana kutengenezea chakula cha kuku
  12. darubin ya mbao

    Shillingi 464,100,000,000 inatosha kuwalipa fidia wakazi wote wa Sinza?

    Wewe bado sana kwenye ujenzi kumbe Au unaongelea vibanda na sio nyumba?
  13. darubin ya mbao

    Mafanikio ya vijana wa Dar yanachekesha sana

    Ishi maisha Yako Wacha na wao waishi yakwao. Huyo kijana Kama anaweza kulipia Kodi ya chumba King'amuzi Router Taka Umeme Maji Na ana kiwanja Huyu anachekesha vipi au wewe mwanetu una matatizo ya afya ya akili
Back
Top Bottom