Recent content by Darmian

  1. Darmian

    Mpenzi wangu ameondoka na mtoto mchanga

    Wanasemaga poteza ndo ujue thamani ya kitu..nilikuwa nadhani mimi ni strong sana hila ili alilofanya limeniumiza sana..na its okay watu wakiniona kama mzembe au mlaini..
  2. Darmian

    Mpenzi wangu ameondoka na mtoto mchanga

    Habari wana JF, Naomba ushauri wenu, hasa kutoka kwa watu waliowahi kupitia changamoto zinazofanana au wenye uzoefu wa maisha ya ndoa na familia. Ninaishi na mwanamke ambaye tumebahatika kupata mtoto pamoja. Mtoto wetu amezaliwa hivi karibuni. Hata hivyo, kwa sasa familia yangu ipo kwenye...
  3. Darmian

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hivi wakuu mpo kweli au tumeingia mitini wote?
  4. Darmian

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bruno Fernandes on the bench
  5. Darmian

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Kwa haya yanayoendelea na huu usalama wa taifa bure kabisa
  6. Darmian

    Tunajua Dr. Nchimbi kalazimishwa kujiuzulu na hili linaweza kuwa ndio chanzo cha mpasuko mkubwa ndani ya CCM utakaomwondoa Samia madarakani

    Acha tututisha kibwege..raia namba moja ndo nini..Rais inabidi aongoze nchi kwa mujibu wa Katiba and nothing else..raia namba moja ndo nini??
  7. Darmian

    Kwanini unaenda bar na maeneo ya starehe?

    Mkuu unaweza kudefine ulevi kwa uelewa wako??
  8. Darmian

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Friendly Vs PSG Msimu huu naona ni wetu..au bado nini wakuu
  9. Darmian

    Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

    Hadi vibaka wa daslam wamekaa nalo mbali??
  10. Darmian

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nipo Majukumu tu yanabana..na pia timu hapa katikati kukosa mvuto
  11. Darmian

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Joshua Zirkzee scores Rosenborg 0- United 2 59"mn
  12. Darmian

    Wachumi: Leo Taifa limepata hasara kiasi gani? CCM siyo sifa, hiki mnafanya ni upumbavu

    Sababu kubwa ni kuogopa kupigwa risasi ya kichwa bila sababu na hawa policcm kama walivyokuwa wanafyatua risasi hovyohovyo 29/october.
Back
Top Bottom