Recent content by darkskin

  1. D

    TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

    Pole sana master entrepreneur
  2. D

    Hongera Mbeya kwa kuwa na timu nyingi ligi kuu

    Unaikumbuka timu inaitwa JOGOO BASHA?
  3. D

    Tanzania’s Late President Magufuli: ‘Science Denier’ or Threat to Empire?

    This article is long but worth reading. Looking things in wide perspective, and enlighten us on our country’s future. Tanzania's Late President Magufuli: 'Science Denier' or Threat to Empire? - unlimitedhangout.com Less than 2 weeks ago, Tanzanian Vice President Samia Suluhu Hassan delivered...
  4. D

    Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

    Hizo zitakua ni “smash and grab” wakati wa msiba. Au “runaway cash” kama za mafia. Nyingine hatuta kuja zijua
  5. D

    Zitto Kabwe: Kwaheri John Magufuli, Buriani Tingatinga

    Subiri kidoogo,si muda mrefu sana utajua unateswa vipi huku huna nafasi ya kuhadithia
  6. D

    Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

    Huyu ni kile kizazi cha 70’s ambao ndio watu waliobaki na IQ kubwa. Tena Kizazi cha soko matola huko.
  7. D

    Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

    VP Bashiru PM Majaliwa
  8. D

    Sijui ni moyo au pressure, msaada wa haraka

    Yani bado haujafika hospitali mpaka sasa hivi? Unataka tuu msichana mdogodogo aje kulaumiwa? God forbid
  9. D

    Hii style nimeiona kwa wengi mjini

    Chanika ni ndani ya jiji, tofauti na mbezi manispaa ya kino
  10. D

    Hii style nimeiona kwa wengi mjini

    Hivi kutoka city centre mpaka mbweni km ngapi?
  11. D

    Hii style nimeiona kwa wengi mjini

    Hawa wanaodai hawawezi kukaa kwenye pagare, wenzao wakistaafu wana nyumba sehemu ishakua mjini frame za maduka anazo, anakisima cha maji anayauza, anapiga tofali anauza, ana maturubai na viti anakodisha. Bonge la alwatan. Pensheni inakua ya kununulia vocha na kulipia azam. Wewe unafuatilia...
  12. D

    Engine gani ya Toyota inaweza kufit katika VW golf mk3?

    Hii ni auto bro, gharama inaweza fika kiasi gani?
  13. D

    Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

    Kuna dawa hizi za asili nazo tumia vilevile.. haya ni mapambano makali usidharau. 1. Hadid covid19. 2 hadid Arch. 3.Halmit Zinapatikana kariakoo maduka ya dawa asili. Watakuelekeza jinsi ya kutumia.
Back
Top Bottom