Recent content by Daraja Makofia

  1. Daraja Makofia

    Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini

    Kambale ilianza hivi hivi kuzushiwa na akaja kuibuka kama kwenye picha la Kihindi. Ulipokuja uzushi wa mwisho, bendera ikawa nusi mlingoti. Yumkini anaumwa kweli kama binadamu ila wasaidizi wanamwambia jikaze mbele ya cameras ili tupate picha ya kuwakera mitandaoni. Ila kibuyu kitalia tu na...
  2. Daraja Makofia

    Wakuu wa Mikoa wana Majukumu gani mpaka Mawaziri wagawiwe Mikoa?

    Leo nimeona yule Kiranja wa mambo ya "Viburudisho" yupo kwenye Sato na Sangara akitoa maagizo lukuki kuhusu maendeleo ya eneo hilo. Nimepata shida sana kuelewa job descriptions za Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Ina maana kuwa Wakuu wa Mikoa wameshindwa kusomamia maeneo yao mpaka Mawaziri wagawiwe...
  3. Daraja Makofia

    Inadaiwa kuwa mlinzi wa mgahawa wa Shishi Food ameuawa usiku wa jana

    Shishi siku hizi amekuwa muoga sana. Anaujua mziki wa mitandaoni.
  4. Daraja Makofia

    (TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

    Hivi mnajua kwa nini wanawake wa Machame huwa wanaitwa WAPALESTINA? Ukishajua kwanini, KAA NAO MBALI!
  5. Daraja Makofia

    Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Hakuwa na mtoto wa kike, ni hao watatu wa kiume.
  6. Daraja Makofia

    Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    Hakikisha unajua alipo baba wa mtoto, na ukishamfahamu hakikishq unakaa mbali na huyo mwanamke. Na akikuambia amefariki, akuonyeshe kaburi lake na ufanye vipimo vya DNA na UKAE MBALI NA HUYO MWANAMKE.
  7. Daraja Makofia

    Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Labda leo niwape mkasa mmoja wa mwanafamilia mmoja huko kwetu. Huyu ni babu yangu, yaani ni mjomba wa baba yangu. Huyu Mzee (Apumzike Salama) alikuwa ni mtumishi wa serikali tatu alipomaliza darasa la 12 (nakumbuka alikuwa akipenda kunitajia kiwango cha elimu yake akimaanisha elimu ya Form...
  8. Daraja Makofia

    Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Kwamba hakutaka iwe na jina lake na huku kuna jina lake na watoto. Halafu ni nani anaamua kuwa hiki kiwe cha watoto? Ni baba? Ni mama? Au ni woye? Hapa kulikuwa na kiburi cha elimu ya Masters ambaźo nyingi huwa zinapatikana kwa mtindo wa CHUP* kama alivyotueleza Mrisho Gambo. Yaani kwa sababu...
  9. Daraja Makofia

    Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

    Shahidi Fiche kwenye 1 na 2.
  10. Daraja Makofia

    Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

    Machawa wanaosubiria PDF za uteuzi wana misemo yao kama 'Maendeleo ni Mchakato'. Hebu ongeza misemo mingine hapa.
  11. Daraja Makofia

    PostGE2025 Death line and life line on 29 October ukumbusho wangu ni huu

    Hali hii ilinipata pia. Tarehe 30 nilitoka na bajaj maeneo ya Maili Mbili, Dodoma mpaka Uwanja wa Jamhuri ambapo dereva alisema anaishia hapo maana mjini hakuingiliki. Nilishuka na kuanza kutembea mpaka General Hospital ili nipate usafiri mwingine wa kufika Nzuguni. Nilikuwa nikitembea barabara...
Back
Top Bottom