Recent content by Daniil_T

  1. Daniil_T

    KERO Matukio ya ukatili kwa Watoto kufichwa Nachingwea, Mtaa wa Majengo D si jambo jema, hatua zichukuliwe

    Ajabu sana ivi uko na age 30+ unawezaje kufanya upuuzi kwa mtoto mdogo ambaye hata kesho yake haijuii
  2. Daniil_T

    Tanzania: Mahakama yapiga marufuku adhabu ya viboko shuleni

    Hapo kuna haya 2 nidhamu kuwa mbovu mashuleni mana sio kwa kizazi hiki cha GEN Z 😁😁😁😁😁
  3. Daniil_T

    Nyongo: Wanaojiamulia sheria mkononi sitawavumilia, hakuna wa kuinunua Serikali

    Kwanini kadhia hii imekuwa endelevu? changamoto kati ya wafugaji na wakulima imekuwa kero kila itwapo leo, je ni mamlaka zimeshindwa kutatua kero hi au ni viongozi waliopewa mamlaka kuegamia upande mmoja mbona kila siku migogoro kati ya wafugaji na wakulima haiishi?
  4. Daniil_T

    Mada Maalum: Kuelekea Novemba 6 – hatma ya kesi ya Tundu Lissu na maswali mazito kuhusu haki na utawala wa sheria Tanzania

    siasa za Afrika tunaweza sema ni hatarishi kwasababu viongozi waliopo madarakani huwa wanajitahidi sana kudidimiza upinzani, tuelewe kuwa mpinzani si dhambi ni sehem ya kuikumbusha serikali wajibu wake kwa raia wake
  5. Daniil_T

    Mabilionea wenzangu wasomi tuliowahi kula boom la chuo likatupumbaza tukutane hapa

    😁😁😁😁 Dah afu bado serikali inakudai bado hujalipa hela yao uliyokuwa ukula bata batani na riba umeongezewa ku escape labda ufe.
  6. Daniil_T

    Wana bahati hawajajitokeza kufanya vurugu. Wasirudie

    vijana tunatakiwa kujitafakari sana hasa linapokuja suala la kudumisha amani ya nchi hii , tusitumike vibaya kwa namna yoyote ile kuleta hali hatarishi ambayo itasababisha uvunjivu wa amani nchini . yes tunajua viongozi kuna sehem wanakosoa kwa namna moja au nyingine kilichotokea October 29 kwa...
  7. Daniil_T

    Siasa safi kwa vijana kwa ujenzi mzuri wa nchi yetu

    Vijana tujitahidi na kujitafakari hasa kwa vijana ambao wamebahatika kuwa na nafasi mbalimbali katika vyama vya siasa, kujizuia kutoa maneno yasiyo na sitara mbele ya vyombo vya habari. Siasa zifanyike kwa muktadha sahihi wa ushindani wenye hoja za kimantiki zenye kujenga amani na kudumisha...
  8. Daniil_T

    Kwa matokeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia

    Benjamin anaamini yeye ndiye wa kuitetea Israel hususan linapokuja suala la maslahi ya Israel katika ukanda wa mashariki ya kati kama ilivyo kwa Vladimir Putin na Russia
  9. Daniil_T

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    unatoa maada ambayo ni pointless ivi ungezaliwa nje ya ndoa ungeandika icho ulichoandika? hakuna mtoto haramu ilihali kazaliwa kwa matokeo ya makutano ya wazazi wake . kila mtoto ana haki sawa iwe wa ndani au nje ya ndoa
  10. Daniil_T

    Mkuu wa Wilaya Abdallah Mwaipaya, mdogo wako Twaha Mwaipaya katekwa lakini umekaa kimya

    ukuu wa wilaya kapewa na viongozi ambao ni sehem ya chama tawala, je unafikiri anachakufanya au atakuwa na sauti kuhusu swala la ndugu yake kutekwa ? ukizingatia ndugu yake ni sehem ya wakosoaji wa serikali iliyopo madarakani.
  11. Daniil_T

    Kuacha ualimu serikalini na kuhamia chuo kikuu binafsi

    ni kheri kuishinda iyo tamaa iliyoko ndani mwako private sio sehem ya kuweka dhamana, serikali sawa mshahara ni mdogo ila uhakika wa kazi yako upo
Back
Top Bottom