Recent content by Dakarai

  1. Dakarai

    Hope T. Godfrey ni Nani? Mwanamke Kijana Mtanzania Anayeunganisha Ujasiriamali, Afya ya Jamii na Athari Chanya kwa Jamii

    1.Ushauri Anachofanya hope hakika kitapewa support na serikali 100%. Kwasababu ........................
  2. Dakarai

    Hivi Serikali, Polisi na Dini zikifutwa leo, tutachinjana ndani ya siku 7 au upendo utatawala? Mjadala wa Kifalsafa

    😀 Fikiria Sasa serikali ipo Jeshi lipo Na majeshi ya aina zoote yapo Duniani kote Lakini watu wanauwawa na hizo hizo serikali Tena hao polisi ndio wanaotumika kuua watu wanaopaswa kuwalinda. Kama nimeongea uongo nirekebishe ?! Mkuu serikali ni Illusion TU Ni wewe tu suala la kuamua iwepo...
  3. Dakarai

    Kipanya: Mtakuja kulia! Wachina hawaji kwa bahati mbaya, ni mpango wa Makusudi

    Mkuu mingependa kusikia maoni yako juu ya anayo yafanya Traore na bukinafaso . Kwaiyo kwa akili na utashi wako unaona Kuna haja ya wachina kuendelea kutakeadvantage watanzania kwa upumbavu wa walio madarakani si ndio?? Kwaiyo watanzania ni wajinga ? ?? No way tuta cross breeding na wachina...
  4. Dakarai

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Chelkenge kawekwa huko Cha Kwanza
  5. Dakarai

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Anacheza na Aston villa Subiri tuone Master class performance kutoka kwa Japaniga Suzuki 😀
  6. Dakarai

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leo kazi wanayo
  7. Dakarai

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Pona yake Leo tushinde . Tusiposhinda Kainerugaba atakuwa na wakati mgumu
  8. Dakarai

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leo nilitegemea mshindi apatikane kwa tofauti ya magoli. Ila nilikuwa na hofu arsenal hatutafunga mengi kuliko Liverpool Approach yetu ya Leo ilinifanya niangalie game kwa kurelax nikijiamini goli atakalopata Leo liverpool kama si peneti hawatapata goli Defence Leo wamefanya kazi iliyotukuka
  9. Dakarai

    Kwamba mwaka mmoja umekamilika bila ya kufahamu ni nani alie sababisha kuuwawa watu mia tano ndani ya siku tatu

    Mkuu hongera sana . Wewe ni miongoni mwa watu wenye uchungu na Taifa lako. Siku zote umekuwa mtetezi wa Taifa lako. Unalinda maslahi ya Taifa lako. Mkuu kama ulipwi chochote kwa hiki unachokifanya humu Nina heshimu utetezi unaofanya kwa Taifa lako. Trust me mara nyingi huwa sikubaliani na...
  10. Dakarai

    Kwamba mwaka mmoja umekamilika bila ya kufahamu ni nani alie sababisha kuuwawa watu mia tano ndani ya siku tatu

    Mkuu jitafakari. Inashangaza kuona kama vifo vya raia 10 wasio na kosa kwako si chochote Bali ni porojo!
  11. Dakarai

    Conspiracy theory: CIA, Homosexual and AIDs

    Thabo Mbeki aliwazidi kete kwenye hili swala la hiv/aids Kilichotokea. Waliangamiza maelfu ya watu kuprove point kuwa wakiamua jambo linafanikiwa. Hivi unajua Kuna watu wametajirika kupitia taasisi zinazojihusisha na hiv/aids??. Hizo taasisi lengo lao kuu ni kuhakikisha ukimwi unaendelea...
  12. Dakarai

    Orodha ya matajiri wa Tanzania ambao licha ya utajiri wao lakini wamechagua maisha ya faragha

    Ila mkuu umekazia laana ya watu weusi!😃 Kulikoni 🤣🤣
  13. Dakarai

    Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

    Action ---- Reaction unatakA kujua why wanaume Wana react hivyo baadae ya kuwa mistreated/betrayed 😊
  14. Dakarai

    Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

    Ni lini mwanaume amekuwa dhaifu? Hebu futa huo usemi kumuita mwanaume dhaifu . Umesema hisia? Ow yes! Men are capable of love. And we are vulnerable when it comes to love . Na tunapopenda huwa tunaingia mazima. Kwaiyo nikiwa mtu siweI kuzuia hisia zangu ndio naitwa dhaifu? Kwaiyo nimevutiwa na...
Back
Top Bottom