Recent content by Da Pianist

  1. D

    Nimepangiwa Hostel za Magufuli UDSM, natafuta wa kubadilishana naye niende Mabibo Hostel au Main Campus

    Mkuu karibu tubadilishane me nimepata mabibo nataka kwenda kwenye hzo hostel za magufuli.
  2. D

    Msaada namba za TCU

    Usiwaze mkuu! Nenda kwenye chuo ulichopangiwa hapo awali, waombe wakupe barua ya kuonesha wewe sio mwanafunzi wao kulingana na sababu iliyokufanya ukaacha chuo kisha jaza form ya TCU ambayo wametoa kwa ajili ya case hyo then itume kama walivyoelekeza. Nimekuwekea hapo form ya TCU unaweza ipata...
  3. D

    Msaada kuhusu BITCOIN wallet

    Simply ni wallet ambayo unaweza store bitcoins na kufanya other transactions kama ku receive bitcoins na kutoa bitcoins. Haina tofaut sana na hizi mobile pesa kama mpesa na nyngne za hapa bongo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    Tanzania Yangu

    Kama ilivyo tatizo la ELIMU, ELIMU, ELIMU tunahitaji tupate MBADALA, MBADALA, MBADALA uliopikika kikamilifu na wenye kujitosheleza naamini hatutowachagua.
Back
Top Bottom