Recent content by d coy++++

  1. d coy++++

    Unahitaji mitambo? Heavy Industrial equipment in Agriculture, Construction, Mining and Industries. Karibu tuwasiliane 0754247000. Ubungo Dar es salaam

    Lonking excavator ton 21.8, 1.1 cbm kwa cash ni TZS 313,398,000 ikiwa ni pamoja na VAT. Downpayment ni 50% ya bei, kisha tutatathimini flow ya biashara yako huku tukizingatia muda wa kulipa marejesho. Karibu tuwasiliane ili nikupe muongozo kamili; 0754247000 Tuko Urafiki Ubungo Dar es salaam
  2. d coy++++

    Unahitaji mitambo? Heavy Industrial equipment in Agriculture, Construction, Mining and Industries. Karibu tuwasiliane 0754247000. Ubungo Dar es salaam

    Sawa kiongozi ntaweka bei, ila nilitamani kujua kwa sasa una mahitaji ya mashine gani? Je, uko na mradi gani kwa sasa? itafaa tukutembelee?
  3. d coy++++

    Unahitaji mitambo? Heavy Industrial equipment in Agriculture, Construction, Mining and Industries. Karibu tuwasiliane 0754247000. Ubungo Dar es salaam

    Habari ya wakati huu. Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi. 1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp 2. Forklifts ( 3.5T, 5T & 7-10T) 3. Generators ( 17kva - 550kva ) 4. Wheel loaders ( 3T & 5T) 5. Excavators...
  4. d coy++++

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Habari Wana DIT, Natumaini mko poa Kuna mdogo wangu wa mwaka wa kwanza diploma, 2025 mechanical department. Huyu dogo mwaka 2023 alijiunga na dit ila Kuna somo hakufanya sup akatakiwa arudie mwaka. Na hii 2024-2025 ndo karudia hilo somo. Ila sasa mpaka sasa mfumo unaonesha yuko mwaka husika...
  5. d coy++++

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Habari zenu ndugu zanguni. Swali: mwanamke miaka 27 mjamzito (miezi 2,mimba ya kwanza ) ila bado anapata matone kdogo ya damu kuptia njia yake ya haja ndogo...je tatizo linaweza kuwa ni nn? Na nn suluhisho la tatzo husika japo mimba haijatoka Sent from my KYV40 using JamiiForums mobile app
  6. d coy++++

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Since day 1 umetoka dar to Arusha hukupata lijimama la kunyoosha msuli kwel...
  7. d coy++++

    Msaada wa notes za Electrical Engineering ngazi ya Diploma DIT

    Acha kwanza ncheke[emoji24][emoji24][emoji24]
  8. d coy++++

    Mchepuko amuua mke wa mtu akidai ametoa mimba yake, akiri polisi

    Mh hizi taarifa za namna hii zinatrend sana miaka hii
  9. d coy++++

    Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

    Nenda kwenye hoja acha kulialia.. Sent from my KYV40 using JamiiForums mobile app
  10. d coy++++

    Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

    Pesa pesa pesa!
  11. d coy++++

    Msaada: Ni namna gani ninaweza kupata "fully funded scholarship" nje ya nchi, mbali na kufaulu vigezo vyao?

    Habari zenu wakuu, Mwaka jana niliona fursa za kusoma nje nkaamua nijaribu kuomba, ila sikupata, pamoja na kuambatanisha vigezo vyote na documents kamili zilizohitajika. Mfano mzuri ni hizi 'full funded international scholarship' nyingi zinazokuwa chini ya mashirika na taasisi, mfano UNICEF...
Back
Top Bottom