Yap, labda hii itamfanya asije US. Kwa nn trip za US, Uk anatia tim mwenyewe? Amtume Pinda au mwingine aah. Na yeye awe anaenda Sudan na Syria. Kwanza kuja kwake US hakusaidii chochote watanzania. Angalia ujumbe atakaoongozana nao. Wapi wanalala na kula ni pesa kibao tunalipa.
How do you know, if she really loves you? how. She can do anything just to get something from you. This applies to men too. How do you know he loves you?
Duh kaazi kweli kweli ila ndo kazi ya pesa hiyo. Mi ntajitahidi nioe binti mmoja wapo kati yao labda mavumbi ya ufisadi takanipitia nikapata maisha bora. Ha haaaaa.
Sasa akimaliza vibaya inatusaidiaje sisi? Badala ya kutupa mwongozo wa kufanya unatabiri umekuwa shehe Yahya wewe? Tuambie kwa ugumu huu tufanye hivi au vile.
Ghadafi kaita raia wake mwenyewe mende na lazima waangamizwe sasa mnamteteaje huyu? Lazima watu watakufa tu kwa njia yoyote ila bora iwe ni katika kuwatetea wapate haki. Rwanda iliachwa wakachinjana leo wanalaumiwa UN hawakuchukua hatua.
AU haina maana yoyote, nini wameweza kufanya, Madagascar kimya, Ivory coast wanasuasua tu, Congo wanawake wanabakwa kila kukicha kimya, Kenya mpaka ICC wameitwa wao kimya, kwa Mugabe hamna kitu sasa hii AU kazi yake ni kula tu sioni kingine.
Duh hii kali yaani mwezi ujao utadondoka na mwisho wa mwaka utakua, sasa huu uchumi umekuwa kama mvua za masika. Cha ajabu watz tukiambiwa tunakubali tu, hakuna kuwajibika hata kidogo. Watu wa nje wanatuona hamnazo kabisaaaa.
Anataka kwenda Cdm huyo baadae, so anatafuta sifa ili akichomoka apate nafasi nzuri angalau. Ni kama mzee wa propaganda wa ccm aliyetoka cuf Tambwe. Alijijengea jina cuf then akahamia ccm so ccm ikabidi wampe ulaji kwani anamaslahi kwao.
Sanaa kila pahali, wakipunguza kodi kwenye bidhaa itabidi wafidie sehemu nyingine, sasa angalia bei za bidhaa zingine wanazoita sio za lazima zitakavyopanda.
PAYE pia haitaachwa. Kwenye madini aah jamaa wanapeta bure na misamaha. Hamna kitu kasema JK.
Asilazimishe ndoa, hiyo ishakuwa balaa, mfano hata huyo mm akikubali kuishi na kakako, je mtakuwa na amani? Ndoa ni amani na upendo achilia mbali pesa japo zina umuhimu maana kula lazima. Cha kufanya taliki, pigana kiume fursa bado ziko kibao, na boom utashangaa umerudi saafi na at that time...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.