Baada ya siku zaidi ya 570 tangu kushikiliwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, leo Novemba 6, 2026, inatarajiwa kujulikana hatma yake wakati Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, itakapotoa hukumu katika shauri hilo.
Hukumu hiyo inatarajiwa...