Recent content by corlpole

  1. corlpole

    Factory Taster

    So tuache kusubiri DNA test, mwana sh anaweza kusema baba ni yupi! Labda hivi anaweza kusema mtoto ni jinsia gani? You bright my evening.
  2. corlpole

    Wasichana wote waliofaulu wachaguliwa kidato cha tano!

    Habari hii ni ya ushindi wa malengo ya elimu, au huzuni kwa wanazuoni? Habari jamvini! Mimi nimeisoma hii kwenye mwananchi jana, na nimesikitika sana. Nini maana yake, tuna shule nyingi za A level kiasi chakututosha wote, au ufaulu umeshuka kupita wakati wowote katika historia ya elimu...
  3. corlpole

    Is a computer 100% digital?

    Labda tujue kwanza analog signal ni zipi na digital signal ni zipi! Analog signal ni zile ambazo wewe mwanadamu unawasiliana nazo, mfano, sauti, rangi, nk. Digital ni zile ambazo computer inatumia kuwasiliana na vifaa vingine vyakwake, kama hicho kifaa kinatoa analog signal, itabidi tuweke...
  4. corlpole

    Ile buku iko wapi?

    Vp wamekupunja chenchi nini? Ka vipi hesabu kwa vidole, hata vya miguuni, visipotosha mwambie muudumu aviweke na vyakwake!
  5. corlpole

    Paint

    Juzi tu nilipata ajali, ila nikapona. Lakini gari select saloon imeumia vibaya sana. Nataka kuitengeneza lakini rangi zinasumbua ni "dark foamred" zilizopo zinapauka, nisaidieni technolojia ya kutunza rangi ya gari, pia kupinda cheses ni nini? Hope kuna mechanical people hapa!
  6. corlpole

    Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

    Hao kwenye picha kila mmoja kalipwa kiasi gani, maana nasikia kwa hapa kwetu ni kuanzia 40000, embu tupashe!
  7. corlpole

    Mabaa Ovyoovyo: Serikali Inavyokera Wananchi wa Tabata Shue

    Hivi ile sheria ya baa mwisho saa sita, baada ya hapo ziwe ni night club tu ipo bado? Maana nakumbuka kwetu K'nyama kuna kipindi walikuwa wanakamata tena kwa defender! Pia night club ziwe sound proof! Hizi sheria zipo au zilikuwa propaganda tu! Nisaidieni, tumsadie mwanatabata!
  8. corlpole

    UDOM na U-CCM

    "You can fool some people sometimes, but you can't fool all the people all the times"
  9. corlpole

    First Alien Planet From Another Galaxy Discovered

    Nc info, I'm that much worried, I won't be alive. Thanx man
Back
Top Bottom