Recent content by Consigliere

  1. Consigliere

    Hivi mwana sheria mkubwa Tundu Lissu kuna kesi yeyote ya maana aliyoshinda mahakamani?

    Tatizo ni kwama Simu unayotumia kuvirekodi vitoto vyenzako mkiwa faragha ndiyo hiyohiyo unayotumia kuingia kusoma na ku comment JamiiForum
  2. Consigliere

    Machafuko ya ukanda wa maziwa makuu ni makosa ya sera za Julius Nyerere

    Nitarudi niisome kwa utulivu, ila nakubaliana na wewe kwa asilimia zote. Nyere alikuwa ni suluhisho la myda mfupi sana, ila in the ling term plan, yule mzee alifeli big time, katika mikakati ya muda mrefu alikuwa ni kiongozi chini ya viwango vya viongozi wa kawaida, kulichombeba ni kuongoza the...
  3. Consigliere

    Kauli ya 'hela ya mwanamke ni ya mwanamke, ya mwanaume ni ya familia' ndio inafanya wanawake kuuawa kwa wingi

    Kuna misemo huwa ialetwa a watu fulani wenye vipato vyao vya kuchezea au visivyo na kazi au maelezo kwa lengo la kuharibu mifumo ya kifamilia. Kusema “hela ya Mwanamke ni ya mwanamke” ni kweli kama aliingia kwenye familia akiwa nayo tayari, nje ya hapo kipato chochote ni mali ya familia.
  4. Consigliere

    Dkt. Gwajima: Kumsomesha binti ili uje umuoe ni ukatili kijinsia

    Kwani huyo Waziri yeye mwenyewe hapo amefikaje? Anataka kufunga dirisha alilotumia kuingia ndani ili wenzake wasilitumie? Ingawa yeye hakusomeshwa, ila michongo yote ya ajira hadi teuzi imefanywa na mafundi mitambo Studio. By the way, anaweza akawa na point hapo kwenye umri mdogo, ila angekuwa...
  5. Consigliere

    Watu Weusi na Waislam tunaenda kutawala Dunia, Wazungu na Wachina hawazaliani tena, wamechoka

    Unaongelea population? Kwani kuna kipi cha kushangaza kwa mtu mmoja timamu kumiliki Ng’ombe 10,000? Haukusoma maandiko? Mfalme Suleiman mmoja alikuwa na wanawake 1,000. Mnaweza mkawa wengi kiasi hicho kunbe kiakili na kimaisha mkawa sawa na wale ng’ombe
  6. Consigliere

    Tetesi: Mwigulu akataa kujiuzulu, kunafuka moto

    Hicho kikao cha kibao kata au cha vigodoro?
  7. Consigliere

    Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

    Katuga huyo anayetaka adhabu itolewe kwa mujibu wa sheria ya zamani badala ya sheria iliyopo? Soma hii; https://www.jamiiforums.com/threads/katuga-alijaribu-kuielekeza-mahakama-kutoa-adhabu-kinyume-cha-sheria.2477314/
  8. Consigliere

    Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

    Kwa mujibu wa Sheria gani? Maana aina ya kosa aliloshitakiwa nalo lina huku mbili tu, either huru au kunyongwa hadi kufa. Hakuna condition yeyote nje ya hizo. Hakuna cha uhaini mdogo wala uchochezi.
  9. Consigliere

    Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Gone are the days. We are now living in a different world, far apart.
  10. Consigliere

    Waziri Mkuu ni kiongozi wa shughuli za Tanganyika hawezi kutoka Zanzibar

    Ngoja nikukumbushe. Ipo hivi. Jamhuri ya Muungano ina pande mbili, Tanzania na Zanzibar. Katika nafasi mbalimbali kuna nafasi za Muungano na zisizo za Muungano. Mfano wa Wizara zisizo za Muungano ni Wizara ya Rlimu, Afya, Utalii, Kilimo, Nishati na Miundombinu Ardhi, Maji na TAMISEMI. Wizara...
Back
Top Bottom