NAshukuru sana bwana Mbowe, kwa ujasiri wako wa kuweza kujiunga na jambo forum, ingawa sina uhakika kama ulichokiongea hapo juu ndio itakuwa mara yako ya mwisho au la!
Vilevile mie naweza kusema wewe unaonekana kama utakuwa ni mchangiaji zaidi wa kuangalia kuliko kutoa hoja hasa zile 'zisizo...
Ingawa sijasoma kabisa sheria, lakini najaribu kutafakari swala hili ki kawaida. Je, wabunge ambao wanapata riziki yao kwa kufanya biashara au wenye makampuni ya uzalishaji, wakiingia bungeni wanaacha shughuli hizo? mfano Diallo ambaye ni waziri na ana viwanda kadhaa, na alishakuwaga naibu...
Ukweli ni kwamba mosi, hawa jamaa wa Richmomd wameshindwa kutimiza ahadi walizoziweka wao wenyewe wakati wanasaini mkataba na serikali pili, kuweka habari za miradi ya uongo kwenye tovuti yao, kwamba wao ndio wasimamizi wakati sio kweli tatu, creditworthiness yao hailingani na mkataba waliopewa...
Kiswahili chako tu kinaonyesha kwamba wewe si mtanzania, na wakenya niliokaa nao ndio husema"yenyu" badala ya "yenu", kwahiyo kwahilo usitake kutudanganya. Pamoja na kukuumbua hapo juu, bado ninaungana mkono na wewe kuhusu watu ambao wanawatukana wakenya au/na waganda. sio ustaarabu kwani sisi...
Kwanza ningependa kuyakaripia magazeti baadhi ya nchi jirani (hasa the East African) yanayosema kwamba vyombo vya habari Tanzania haviungi mkono kuanzishwa kwa ushikiriano huu, na hata wengine kufikia hatua ya kuisema tovuti hii kuwa iko mstari wa mbele kupinga muungano huo. Mimi swali langu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.