Recent content by Comte Augustine

  1. C

    Mauaji ya Padre Zanzibar: Rais Kikwete awataka wakatoliki kutulia, linashughulikiwa

    hebu tuangalie kwa marefu na mapana haya mambo kwani katika jamii zetu tegemea kukutana na kati ya haya 1. mama/baba/mjomba/shangazi aidha muislamu au mkristo/muislamu 2. umeoa/umeolewa una mpenzi/rafiki/mbia/mmiliki wa kiislamu/kikrusto Pia kuna miingiliano mingene mingi kati ya makundi haya...
  2. C

    Bomu la Pinda linakaribia Kulipuka Tandahimba, Vijana wanajipanga wako tayari kufa!

    Kwa kweli ni jambo la kushangaza pale ambapo SIRIKALI hii hii inapodhihirisha utengano kati ya walionacho na wasionacho, wenye kula na walio na kura. Kwa kuwa mtwara mali zilizoharibiwa ni pamoja na za walio na kula, nafikiri inaleta urahisi wa matamko hayo ya pinda na kikwete, TUTALIPA FIDIA...
  3. C

    CHADEMA yazindua M4C mgawanyo wa sera ya majimbo 10

    Habari wadau: MOSI kwa kweli ni jambo zuri kwa CDM kuweka wazi mpango huu wa majimbo kwani wanachchemee walikua wafupi wa fikra kwa kudai hawataweza kuchukua dola na kuunda kanda ndani ya miaka 5 na kutekeleza wajibu wao, kwa hili wameumbuka mbaya sana maana CDM inaingia mzigoni sasa na sio...
  4. C

    Uzinduzi rasmi M4C: Live toka Gold Crest - Mwanza (Kwa Kanda ya Ziwa)

    Kazi kwenu wana mwanza na kanda nzima ya ziwa. Tunajua mtfikia malengo mliojiwekea ila kama ilivyokuwa Arusha, Dar muda umekua ni Kama tatizo, Eti hautoshi tuangalie kwa umakini; Malalamiko ya muda ni mambo ya ccm, ndio maana kila siku wanasema hauwatoshi lakini nini maana yake; 1. Hawajipangi...
  5. C

    Zitto ndani ya kumekucha ITV

    Kweli kazi ipo na Zitto anajitaidi kupanga mikakati yake lakini sioni kama "ndugu" na "mheshimiwa" kuwa ni chanzo cha kulimbikiza mali, ishu hapa ni ubinafsi wetu na kupenda kutumia ujinga wa walio wengi kwa manufaa ya wachache, watu hatujui haki na taratibu, hebu fikiria kama polisi wa...
  6. C

    CHADEMA yaandaa semina maalum kwa viongozi wote wa Mikoa...

    Habari motomoto na za msingi kwa CDM lazima ziwekewe zengwe. CDM songa mbele, usafi wa jirani kuoga nguo chafu hausaidi & vice versa.
Back
Top Bottom