Recent content by Colgate

  1. Colgate

    Rose Mayemba Nakupenda, Tafadhali Uponye Moyo Wangu

    Sina maneno mengi ila ninayotoka moyoni. Moyo wangu unaelea katika bahari ya mapenzi yako. Wewe ni kama ua langu zuri, lenye harufu nzuri na rangi ya kupendeza. Kila ninapokuona, moyo wangu unaanza kucheza kama ngoma. Sauti yako tamu kama muziki wa ndege, inaniacha nikifurahi. Tabasamu lako...
  2. Colgate

    Ubovu wa majengo Chuo Kikuu Dodoma; tatizo linalohitaji kumulikwa haraka

    Thursday, 11 August 2011 20:47 0digg Na Habel Chidawali KUNA wakati wa kulia, na wakati wa kucheka, kuna wakati wa kufurahi na wakati wa kununa, lakini pia kuna wakati wa furaha na wakati wa huzuni.Yawezekana wakati tulionao kwa sasa hauko katika maeneo hayo niliyoyataja awali na kama hivyo...
  3. Colgate

    Rais Kikwete aunda tume mgogoro UDOM

    Chuo chenyewe kimeanza zimamoto na kinaendeshwa zimamoto, matatizo yanaundiwa tume zimamoto yanatafutiwa utatuzi zimamoto. Graduate wake wanaandaliwa zimamoto. Hatuwezi kutegemea lolote jipya zaidi ya zimamoto. Sasa inabidi tukiite Chuo Kikuu cha Zimamoto
  4. Colgate

    UDOM hapakaliki; wanafunzi kumi wamefukuzwa bila kosa

    Unaweza kutupatia majina ya waliofukuzwa!
  5. Colgate

    UDOM hapakaliki; wanafunzi kumi wamefukuzwa bila kosa

    @Majanikv, unaweza kututajia waliofukuzwa ni kina nani?
  6. Colgate

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Wadau mpaka sasa hali ni tete toka alivyokuja Pinda, haijulikani nini kinaendela, ila bado watu wanamsubiri hapa chimwaga
  7. Colgate

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Wandugu samahani kwa kutowajulisha kwa muda kinachoendelea kuusu mgogoro ulipo UDOM. hivi sasa waziri mkuu yupo hapa, stay tuned. Colgate
  8. Colgate

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Mkuu zilianza nov 2008,
  9. Colgate

    Tamko la Jipya UDOMASA, Mkutano utaendelea kesho

    *UDOMASA* University of Dodoma Academic Staff Association University of Dodoma, Chimwaga Complex, P.O. Box 259,Udom, Cell +255 755210310 +255 755210310 + 255 786 336690 + 255 786336690 Email: udomasa2011@gmail.com *MAENDELEO YA MKUTANO WA WAHADHIRI...
  10. Colgate

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    1. UDOMASA University of Dodoma, Chimwaga Complex, P.O. Box 259,Udom, Cell +255 755 210310 +255 755 210310 , + 255 784 855444 + 255 784 855444 , + 255 712 792561 + 255 712 792561 ...
  11. Colgate

    Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

    Mods hii ni hujuma, kwanini unaunganisha hii thread ili tusijue ukweli au
  12. Colgate

    BAKWATA na Mauaji Arusha

    craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap, nenda kwenye mada
  13. Colgate

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap
  14. Colgate

    Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

    UDOM hawawezi kugoma, ni waoga na wanasalitiana wenyewe kwa wenyewe. Ni watu wakunung'unika tuu mtaona
  15. Colgate

    Ushauri; EX lover wake anamjia ndotoni

    Kuna rafiki yangu mmoja mwanamume, anakisa kimoja. "kwa muda mrefu amekuwa akimuota anasema anamjia ndotoni mara kwa mara" wakati mwingine halali kabisa, na uhusiano na mkewe umeanza kuyumba, ila anaogopa kumuambia. anadai ndoto kuwa wakati mwingine anaota kuwa wanaishi pamoja huyo ex wake"...
Back
Top Bottom