Recent content by cold water

  1. cold water

    Natafuta mchumba

    Haaaaaa....
  2. cold water

    Natafuta mchumba

    Liuli ni nyasa au wapi?
  3. cold water

    Natafuta mchumba

    Mmh usiwe muongo sasa
  4. cold water

    Natafuta mchumba

    Walikufanyaje?
  5. cold water

    Natafuta mchumba

    Liuli mbona mbali mimi n Liuli mbali mimi namtaka wa songea mjini tuwe karibu
  6. cold water

    Natafuta mchumba

    Ke
  7. cold water

    Natafuta mchumba

    Mimi ni ke, natafuta mchumba umri miaka 34, sifa na muomekano mwembamba mweupe, mrefu kidogo awe muajiriwa wa Songea Ruvuma, makazi yawe ya kudumu huku songea, dini roman....mimi pia ni muajiriwa karibu dm....usiwe na familia kuanzia watoto wawili, labda mmoja tu. Awe tayari kupima afya.
  8. cold water

    Harmful nimeshindwa kuku dm

    ......
  9. cold water

    Nawatafuta sana ndugu zangu

    Naomba mawasiliano ya watajwa hapo kwenye majina yaliyoorodheshwa,wanatokea mkoa wa Ruvuma Songea....mimi ni rafiki yao lakini kama ndugu yao pia... vijiji ndio ivyo tajwa ,kama kuna ndugu yako hapa naomba mawasiliano tafadhari sana,na kama utahitaji kujua kwanini nawatafuta naomba tuwasiliane...
  10. cold water

    Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

    Muongo mi Nina miaka iyo na Nina mtoto na Nina upendo
  11. cold water

    Naomba ushauri

    Mmmh
  12. cold water

    Ushauri juu ya uchaguzi wa Mchumba

    Yani mama mtoto wako anakupa ushauri nani umuoe jitafakari Sana kwenye ili
  13. cold water

    Naomba ushauri

    Distance ndo inayonipa mawazo je yatadumu ? Ilo tu
  14. cold water

    Naomba ushauri

    Alinambia nishike mimba yeye ndo aliomba kwenye mimba Hana shida Nina hofu na anakoenda japo kapangiwa kijijini Naomba ni dm Kwa ushauri zaidi
  15. cold water

    Naomba ushauri

    Siwezi mfata na mimi nipo songea permanent job na ni wachumba tu hatuna ata mtoto uchumba wetu una mwaka
Back
Top Bottom