Recent content by Code X

  1. C

    What lawyers say about the recent burial crisis

    Our Staff Writer FAUSTINE KAPAMA Daily News; Monday,April 14, 2008 @18:06 Recently, a group Muslim believers went to the Evangelical Lutheran Church of Tanzania at Sinza to demand the body of decease Paul William Goliama, claiming he was a Muslim and should be buried according to...
  2. C

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Kuna habari sasa hivi kuwa kafukuzwa kazi jana saa tano usiku. Hebu tutafute ukweli wa taarifa hizi.
  3. C

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Utajiri wa Chenge waishitua Ikulu *Ni kuhusu kumiliki akaunti ya Sh 1 bilioni *Yasema inasubiri taarifa rasmi sheria ichukue mkondo *Profesa Lipumba kuuzungumzia leo Ramadhan Semtawa, Dodoma na Muhibu Said, Dar SIKU moja baada ya Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, kudaiwa kumiliki dola 1...
  4. C

    MSIBA:Peter Gachuma,Thomson Msigwa WAFARIKI DUNIA

    Mzee Mwanakijiji, Sidhani kama kutoa maonyo kwa namna hii ni kuwalaumu madereva. na si kweli kwamba hatuwezi ku reason kifo. Huko ni kukimbia ukweli, na haisaidii kitu. Watu wengi wa nje hawakumbuki au hawajui kuwa TZ sheria za bara barani hazifuatwi kwa makini. Ukiwa highway, hutajua kama...
  5. C

    BoT bars Tanzanians from buying Safaricom shares

    BoT is mandated to administer stock markets through Capital Markets & Securities Authority (CMSA), who is the regulatory body. Under CMSA, the DSE is the stok exchange which facilitates matters relating to stocks. As such, Tanzanian investors are therefore being protected through CMSA'...
  6. C

    Unakumbuka Siku ile ya machozi...

    Dr Fupi alipatwa na nini?
  7. C

    Tanzania: British Duo Flee Moshi After Death Threats

    "Mr Gale recounted how, between 2000 and 2004, the Silverdale farm in Moshi was owned by Benjamin Mengi, whose brother is the Tanzanian media magnate Reginald Mengi."
  8. C

    SA to protest military invasion of Anjouan island

    Anjouan action a big lesson to power seekers, says SA envoy 2008-03-31 10:15:13 By Njonanje Samwel and Michael Haonga South Africa has commended the African Union-led military action in toppling Comoro`s Anjouan island`s former self-proclaimed president, Col Mohamed Abcar, as a lesson...
  9. C

    SA to protest military invasion of Anjouan island

    Hao wachimbaji wadogo wadogo wanapewa leseni na serikali, lakini mambo mengine yote wanafanya kienyeji tu, na nikama wana serilaki yao kule migodini. Sasa wewe una relate vipi protest ya Military intervention ya Comoro na mambo ya Mererani? Umeambiwa thread hii iache kwa ajili ya mambo...
  10. C

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    Kwa Mujibu wa Membe, kazi ya kuikomboa Anjouan imekwisha, na serikali ya Comoro inakabidhiwa rasmi leo.
  11. C

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    amini usiamini, kuna difference inayoonyesha failure kubwa kwa recruits waliozaliwa miaka ya kuanzia 1976 na kuendelea katika mambo haya. wengine wanahusisha na kukosekana kwa JKT, katika ku mould fikra za vijana wetu, wengine wanahusisha na nguvu hasi za globalization...lakini hii kitu ipo...
  12. C

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    "DEFENCE wamesema wataamua info zipi tutapata" You expected that, didnt you, GT?
  13. C

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    dont expect that is the end of those questions, Mkuu P.
  14. C

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    Mkuu Icadon, i expected this, no one likes to send his best men to unknown opposition.
  15. C

    Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

    Mkuu GT, from what i know--just a general understanding, ni kwamba Membe alikuwa akiongoza juhudi za upatanishi katika AU steering committee katika Peace and Security. Hii ni kwa sababu hatua ya mjadala haikuwa hatua ya ki utendaji kijeshi, bali ya wanasiasa wa nje--something which suits Membe...
Back
Top Bottom