Hili napinga nimetumia zile pocket wifi sijaona shida yoyote ata hii pia sijaona shida yoyote mpk sas ila kabla hujanunua kuna vitu vya kuzingatia kama location uliopo je mtandao upo kuna baadhi ya maeneo mtandao mbovu sana usitegemee wifi itafanya kazi
BEI YA HARAKA: Inauzwa Airtel Internet Router (Mpya Kabisa)
• Hali: Mpya kabisa (Brand New), imefunguliwa boksi tu lakini haijatumika kutokana na matatizo ya dharura.
• Mtandao: Airtel (Inafaa sana kwa internet ya nyumbani au ofisini au wale wanaotaka kuuza internet mtaani).
• Bei ya Dukan...
Yaan it’s weird gharama ni zao unaumia wew tena wengi wao ni wanaume wanaoongea hivi 💔 Wivuuuuu mtupu kwasabab ata wew unaweza pia kusaidia wajane na yatima hawajaandika kwamba ni kanisa tu ndo wafanya hivyo
Hilo sijajua nimeeleza kwa namna nilivyoelewa maana chanzo cha malaika kuasi kilianza na lucifer na yeye hayupo tena tunae huku kilichobaki ni kuendelea kumkemea tu
Naomba nichangie kidog kwa uelewa wangu
Unasemekena kabla Shetani (at that time anaitwa luciffer) hajatupwa chini kama adhabu mbinguni alikua na cheo cha Malaika wa sifa kabla hajamuasi Mungu
Unaambiwa shetani alikua anaimba hakuna malaika yoyote alikua anampata kwa kuimba (thus why wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.