Recent content by chokambayaa

  1. chokambayaa

    KERO Ubovu wa barabara Iringa Dodoma

    huko kungine sijapita, nazungumzia ambayo ninaifahamu
  2. chokambayaa

    KERO Ubovu wa barabara Iringa Dodoma

    Naomba kuwasihi mamlaka zinazohusika na marekebisho ya barabara kufanya matengenezo barabara ya Iringa Dodoma hasa kipande cha Chipogolo, Seluka hadi Fufu kuna mashimo makubwa, kwakweli ni kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo. nawasilisha
  3. chokambayaa

    Natafuta garage ya kutengeneza body arusha!!

    Vipi bro naomba mawasiliano na hawa Capital nataka kufanya nao kazi, respond yako imenishawishi nahisi wako vizuri
  4. chokambayaa

    Gunship battle game gold hack

    Hivi kuna ma game ya free ambayo niya Porn
  5. chokambayaa

    Simulizi: Mkasa wa kweli | Aliyemuua Mchumba Wangu

    Story ikiendelea mnitag
  6. chokambayaa

    Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe

    Kwani kwa mujibu wa mkataba mkuu lilipaswa likamilike lini
  7. chokambayaa

    Sema ukweli tu hivi usha - sex na wanaume/ wanawake wangapi

    Niliwahi ambiwamna mze mmoja kuna baadhi ya nyuchi zina balaa sana siku ukipita nayo hukosi majanga mara umefukuzwa kazi mara umegongwa inakuwa nuksi mtindo mmoja hivyo kujaza coaster ni kujitafutia mibalaa
  8. chokambayaa

    Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe

    Kitu karibia kinakamilika siku nikirudi Njombe nitapiga picha nibandike humu
  9. chokambayaa

    Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe

    kwani ni lazima soko lijengwe stand!!!!, inawezekana kukawa na option ya kushusha na kupakia abiria
  10. chokambayaa

    Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe

    Jengo limeshapauliwa hopes wakandarasi watakabidhi befofe Septemba, 2020
Back
Top Bottom