Recent content by Chiwa

  1. Chiwa

    Kwa kipato cha Tsh. 200,000/- kwa mwezi naweza kujenga nyumba?

    miaka ya nyuma nilikuwa nafanya kwenye NGO fulani kati ya wateja wangu mmoja akasema nikikopa 80,000 sinaweza kujenga nyumba ya block? ikabidi nikubaliane naye lakini kiuhalisia ndani kwangu kuligoma. baada ya miaka kumi nakutana naye ananyumba nne na alianzia na ule mkopo wa 80,000. binafsi...
  2. Chiwa

    Je Askofu Alex Gehaz Malasusa anazo sifa hizi?

    :):):) viongozi wa KKKT ni wakuwaombea zaidi kwakuwa asili inasumbua kwao
  3. Chiwa

    Kero za Muungano zimebadilika, What if Muungano ukavunjika?

    kama ni kwa damu hapana kwakweli iache iende
  4. Chiwa

    Kero za Muungano zimebadilika, What if Muungano ukavunjika?

    awapi warudi tu kwao kwakweli
  5. Chiwa

    Kero za Muungano zimebadilika, What if Muungano ukavunjika?

    tulipofikia tuuvunje tu kwakuwa unatutia hasara na hasira kubwa achilia maumivu ambayo jamii haitakaa isahau maisha yake yote. Wameshalilia wembe nafikiri tuwape Mapanga yatawafaa zaidi kwakuwa hawatajichanja tu kidole bali wataweza kukatana shingo nafikiri hii inafaa zaidi. Kwa bahati mbaya...
  6. Chiwa

    Kijana wa Miaka 25 Kuwa Baba wa Kambo wa Mtu wa Miaka 36, Inawezekana Kweli?

    Nchi ngumu sana hii kuzidi mkate kwenye chai
  7. Chiwa

    Nahisi mume wangu ana watoto wa nje ya ndoa

    uzi unaenda kasi sana kwa majibu mafupimafupi
  8. Chiwa

    Kwa sifa hizi; Mabasi ya Shabiby Line Toleo Jipya ndiyo bora zaidi.

    bado hamjasema ngoja siku sio nyingi mwendawazimu mwingine atakuja kututandazia reli kusini iungane na hiyo ya huko ndo itakaa sawa.
  9. Chiwa

    Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

    upaaji wa kishada ulishwa na uzi wake
  10. Chiwa

    Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

    hata lisipokuwepo linaonekana linakuja inawezekana march tusitoboe
  11. Chiwa

    Nafikiria kuachana na mke wangu

    ni kweli na wao kiukweli wanashindwa kuzivunja kwa sababu zishakuwa taasisi (zinabeba maslahi ya wengi katika jamii) lakini ukiwabana vizuri wnakwambia hii inawezekana wanapeleka kibali kwa askofu maisha mengine yanaendelea.
Back
Top Bottom