Recent content by chilumendo

  1. chilumendo

    Askofu Benson Bagonza anatishiwa kutekwa na watu wasiojulikana

    Uko sahihi wote tuwe machawa
  2. chilumendo

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    2020 pamoja na cdm kushiriki uchaguzi ikiwemo na maridhiano, cdm walipata mbunge 1. Nadhani maridhiano ya kweli ni kubadilisha sheria za uchaguzi
  3. chilumendo

    Haki sio kushinda, Hata kushindwa ni haki pia

    Kama lissu unamterm kama opportunist basi unalako jambo. Mtu ambaye hataki uchaguzi wa uongo ndiyo unamterm mpenda vyeo.
  4. chilumendo

    Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

    Mke aliponaje mpaka sasa
  5. chilumendo

    Tarehe kama ya leo Oktoba 23, 1999, Mwalimu Nyerere alizikwa Mwitongo, Butiama. Unakumbuka kitu gani siku hiyo?

    Nilikuwa form two, mwanzo wa nyimbo za dini kupigwa baa ili kuomboleza mwezi mzima
  6. chilumendo

    Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

    Kujibu sijampata wa kufanana nami unashindwaje
  7. chilumendo

    Dada Poa anayeitwa Latifa adaiwa kuuwawa na "Mteja". Akutwa uchi akiwa amenyongwa

    Wanawake wajinga sana Miye mwenyewe nilishawahi opoa hao wanaojiuza akanywa pombe yangu baabaye tukaende guest kabla ya yote akaniambia nitoe 50 wakati huo matarajio yangu ni 10 tukabishana wee baadaye nikampa hiyo 50. Nimefanya mambo yangu baadaye tukapumzika dk 10 nasikia anakoroma amelala...
  8. chilumendo

    Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni akalishwa chini licha ya kulipa nauli kamili

    Hao mazuzu ndiyo utegemee yalete mabadiliko zaidi hapo ni uchawa
  9. chilumendo

    Ni tabia gani ya rafiki au mpenzi wako ilikushangaza mlipoanza kuishi pamoja?

    Wivu, huyu mwanamke wivu wake kuna siku atavunja ndoa
  10. chilumendo

    KERO Responded Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Kuilalamikia TANESCO nikuwaonea chanzo cha yote hayo ni ccm kuua upinzani nchini, vyama shikizi viko kimya
  11. chilumendo

    Nilivyoona hii picha nikajisemea tu huyu jamaa ni zaidi ya "Businessman"

    Cheki mwamba kochi lilivyobonyea ukilinganisha na president
  12. chilumendo

    Je, unakoroma sana ukilala, na kwamba ndoa yako iko mbioni kuvunjika kutokana na kukoroma huko? Suluhisho lako ni hili hapa 👇

    Asante mkuu huyo pm ukoromaji wake ni cha mtoto kwangu, nina uzito mkubwa kg 94. Huwa ninaogopa hata kulala mbele za watu.
Back
Top Bottom