Recent content by Chief

  1. C

    PostGE2025 Askofu Emmaus Mwamakula: Tume ya Jaji Lila imekwepeshwa mambo muhimu juu ya Mauaji ya Oktoba 2025

    Kama alishinikizwa na akakubali, still it doesn't absolve her of the crime. Alikuwa na utashi wa kukubali au kukataa. Na si hivyo tu, kaishasema nguvu iliyotumika ilikuwa halali na stahiki. She is 100% guilty, iwe kashinikizwa au la.
  2. C

    PostGE2025 Askofu Emmaus Mwamakula: Tume ya Jaji Lila imekwepeshwa mambo muhimu juu ya Mauaji ya Oktoba 2025

    Kwa hiyo Jakaya ana power kuliko Samia? Samia aliwekewa bunduki kichwani ? Nikikushawishi kuua mtu ukaua unakuwa huna hatia?
  3. C

    PostGE2025 Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, ugomvi ukaibuka, wenzio wakafa sasa serikali imekosa nini?

    Kufa sio moja ya matokeo halali. Hakuna sheria inayosema wezi wauawe
  4. C

    Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Itabidi uthibitishe kuwa walitorosha familia zao i.e walitumia njia za panya kusafiri hawakuwa na ruhusa kusafiri, na uthibitishe kuwa wameficha, mfano wanaishi kwa majina bandia.
  5. C

    Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Wewe umejuaje kuwa wachache waliohamasisha walikuwa na malengo binafsi na si kwa maslahi ya umma? Yaseme malengo hayo, tuthibitishie kuwa yana maslahi, na thibitisha kuwa yslisemwa na wahamasishaji. Msimamo wa Samia ni huu...
  6. C

    Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Navyofahamu wosia wa wanandoa unatakiwa kusainiwa na wanandoa wote ili uwe halali. Hivyo wosia wake usingetambuliwa mahamani. Kupinga si issue, issue ni kuwa yeye alitaka hati iandikwe kwa jina lipi? Kama lake na mkewe ni sawa tu kwani mbele ya sheria mali ya wanandoa ni ya wanandoa na si ya...
  7. C

    Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Kama yeye alikuwa mmiliki wa kiwanja, na akajenga Kweka, huoni kuwa ingekuwa jambo la busara angemshirikisha Kweka katika ku process hati ya umiliki? Na kama Kweka anaumwa saratani, ni ingekuwa busara zaidi kumshirikisha yeye kwani at the end of the day, ataaga dunia na kumwachia nyumba, other...
  8. C

    Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Kubadili hati ya nyumba bila kumshirikisha mumewe.
Back
Top Bottom