Recent content by Chief Kumbyambya

  1. Chief Kumbyambya

    Kwanini wataalamu wengi wanashauri usile vitunguu swaumu zaidi ya punje mbili kwa siku?

    Hivi ni sahihi nikivuta bangi alafu nianze kusoma bible ili niitafakari kwa kina?
  2. Chief Kumbyambya

    Kwanini wanawake mnawakataa wanaume wenye upwiru,,,?

    Na kumbe upwiru unaonekana kwa macho bana🤣🤣
  3. Chief Kumbyambya

    Kwanini wanawake mnawakataa wanaume wenye upwiru,,,?

    Eeeeh aisee nimekumbuka kuna demu kipindi fulani nilimchombeza kuwa namtaka akapiga chenga alafu anauza glocery kwahiyo hiyo siku nilikiwa mimi na washkaji zangu kama wawili hivi. Na hiyo sehemu tulioenda na hao jamaa zangu kama mara nne hivi ila katika hizo mara nne siku moja ndiyo nikapata...
  4. Chief Kumbyambya

    Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

    Safi sana kwanza ni mnyakyusa wa wapi huyo mkeo? ila lazima atakuwa wa kyela tu na anabahati hakuolewa na mimi mwana ghwa Mwakipesile ningemdunda mbaya. Hao dada zetu tunawezana nao wenyewe hao bila ngumi hawaendi. Huyo inatakiwa unampa zile ndondi za Mike Tyson kabisa tegua mbavu vunja shingo...
  5. Chief Kumbyambya

    Nimeamua kurudi kwenye default mode. Vyovyote iwavyo

    Mbaya zaidi hii dunia yetu kwa sasa haihitaji mtu kama wewe.
  6. Chief Kumbyambya

    Kwanini wataalamu wengi wanashauri usile vitunguu swaumu zaidi ya punje mbili kwa siku?

    Ukishaviacha hizo dakika 10 au 15 baada ya kuvikatakata wakati wa kuvila inatakiwa utafune au uvimeze tu sababu vimesha katwa katwa?
  7. Chief Kumbyambya

    Kwanini wataalamu wengi wanashauri usile vitunguu swaumu zaidi ya punje mbili kwa siku?

    Mbona natafunaga hadi punje 6 sijawahi kupatwa na hiyo hali zaidi ya mshedede kudinda haswaa
  8. Chief Kumbyambya

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Yule chizi wa bwana juma maharage alikuwa kitengo yule maana ile stori ya jamaa gafla tu ikafutwa chapu saaana na jamaa hakuwahi kuonekana tena JF mpaka leo🤣🤣
  9. Chief Kumbyambya

    Kwanini wataalamu wengi wanashauri usile vitunguu swaumu zaidi ya punje mbili kwa siku?

    😅Na nikivitafunaga kabla ya game huwa napeleka moto balaa sijui vina nini aisee
  10. Chief Kumbyambya

    Kwanini wataalamu wengi wanashauri usile vitunguu swaumu zaidi ya punje mbili kwa siku?

    Nilimaanisha punje 10 mtaalam, vipi ni chache au nile zaidi
  11. Chief Kumbyambya

    Kwanini wataalamu wengi wanashauri usile vitunguu swaumu zaidi ya punje mbili kwa siku?

    Kinatibu vitu vingi sana pia nikivitafunaga huwa napeleka moto balaa
Back
Top Bottom