mkuu hii kitu ilianzia pande za TMK, hii kwa kiswahili huwa inaitwa misimu
JEMBE ni TEGEMEO FLAN, BILA HILO HAKUNA KITU KITAKACHOENDA SAWA..........mfano
1)Biashara, jembe ni mtaji - in red uko poa
2)Familia, jembe ni mhimili wa nyumba - m2 anaeiweka familia mjini
3)Soka, jembe ni key player wa...