Recent content by chibe dayo

  1. chibe dayo

    Wanawake hivi wanashida gani?anaonyesha dalili zote kuwa anakupenda Ila ukimtongoza anakukataa!

    Dah hii hali naipitia mm kazin kabisa saivi hata salamu hamna
  2. chibe dayo

    Msaada wa kimawazo

    Hahahah we jamaa
  3. chibe dayo

    Msaada wa kimawazo

    Hakika kaka ila kuna hofu nakua nayo ya maisha juu ya hili nawaza ntaendesha maisha ila naamini inawezekana
  4. chibe dayo

    Msaada wa kimawazo

    Wazo zuri pia kumbe familia kanis Mm nataka town to uswahilini
  5. chibe dayo

    Msaada wa kimawazo

    Wazo zuri pia kumbe familia kabisa
  6. chibe dayo

    Msaada wa kimawazo

    Sawa asante kwa ushauri
  7. chibe dayo

    Msaada wa kimawazo

    Ndoto ntazitimiza nje ya kazi mana kazi naingia sa 2 asubh kutoka ni sa 3 usiku mtihani sana
  8. chibe dayo

    Msaada wa kimawazo

    Mkoa wa arusha
  9. chibe dayo

    Msaada wa kimawazo

    Habari wana jamvi? Mm ni kijana nimeajiriwa sehemu fulani,, kipato kwa kiasi napata ila hakikidhi mahitaji Sasa nafkiria kuacha kazi na kununua bajaji hata used then nianze kujiajiajiri,,,, kwa anaye fahamu biashara ya bajaj inaendaje tafadhali
Back
Top Bottom