Recent content by che chaunichile

  1. che chaunichile

    Marekani yajitoa kombe la dunia U 17 kisa uwepo wa Iran

    Hawa jamaa mbwa kweli
  2. che chaunichile

    Kocha mpya wa Man U Pochettino hana mafanikio yoyote ya maana ila ana Uzoefu

    Man u watatuua mwaka huu,sasa huyu ndio kicha Gani? Hivi kwanini hawamzungumziagi pep?
  3. che chaunichile

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    Asante mkuu,yule jamaa ana moyo safi sana,sikua tayari kumharibia familia yake.
  4. che chaunichile

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    Omba Mungu,lakini pia ishi vizuri na watu. Huwezi amini mkuu licha ya yote niliyoyapitia bado jamii iliyonizunguka iliniheshimu sana,nilikuwa nateseka ndani ila nje heshima niliipata. Yaani nilificha shida zangu. Nilikuwa naenda kufanya vibarua huko mbali,nimesomba matofali,saidia...
  5. che chaunichile

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    Akiacha pombe akatulia huenda mambo yakawa sawa,japo hata kwa kiwango kidogo
  6. che chaunichile

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    Kabisa mkuu,haya mambo inafaa uyasikie au uyaone kwa wenzako tu,kama una nafasi ya kuyakwepa yakwepe,ila yakiingia ndani mwako hatari sana
  7. che chaunichile

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu

    Ila yote kwa yote mnachomfanyia huyu jamaa sio kabisa. Tukumbuke TU wapinzani nao ni watanzania
  8. che chaunichile

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    Asante mkuu,nilipatikana kweli kweli, Yaani humu nimeelezea kiufupi TU,ila vipigo vilikuwa vikali sana. Na hapo nilikuwa nasomesha,Kuna dada zangu wawili mmoja form II mwingine chuo hapo Morogoro,Na mdogo wa kiume alikuwa anachukua kozi ya kompyuta kule Mtwara Ilibidi wanangu mwenyewe warudi...
  9. che chaunichile

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    Mkuu acha ,kipindi hicho ndicho nilijua hizi dawa zetu za asili zinatibu. Mtu akiugua Hela ya hospitali huna. Basi nikawa naingia humu Jf kimya kimya nasoma zile nyuzi za tiba asili naenda kuzifakamia. Mara miorobaini,mara mijohoro,miembe majani na mizizi mbalimbali nimetuma na Mungu alitia...
  10. che chaunichile

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    Ila inaniuma na inatia huruma sana nikiona au kusikia watu wanapitia magumu kama hayo. Mkuu Huwa nawapa watu shule hasa wale ambao kidogo wana maisha,wana kazi,wasichezee hizo kazi zao kabisa. Waziheshimu huku wakiomba Mungu wasikumbwe na majanga,waishie kusikia TU kwa wenzao kama sisi.
  11. che chaunichile

    Hiyo inayodaiwa kuwa nyumba ya akina “Lissu”

    Hao wanaocheka na kubeza ndio waandaaji wakuu wa Ile sherehe
Back
Top Bottom