Recent content by CHASHA FARMING

  1. CHASHA FARMING

    RC mpya wa Mbeya hajawekwa kwa bahati mbaya. Bajaji na machinga ni mfupa uliowashindwa ma RC wengi, ndiyo maana kawekwa Tata kutoka Mkoa wa Mara

    Swala la Bajaji na Pikipiki matokeo ya sera mbovu , wala sio swala la mkoa wa Mbeya, kwani huko Dar hakuna Pikipili na Bajaji? Hao si ndio wanaitwa maafisa wasafirishaji? , Mkoa wa Mbeya una sera zake tofauti na mikoa mingine kuhusu Bajaji na pikipiki?
  2. CHASHA FARMING

    Mliofanikiwa kilimo cha ngano mtupe ABC natamani kulima

    Kilimo cha ngano nenda Hanang huko Kateshi, ama Monduli juu, ama Karatu huko kajifunze shambani kwa vitendo ila nenda mwezi wa 5 ambako ndio wanaanzaga kuotesha ngano, kipindi mvua zinaelekea mwishoni. Ngano sio zao complicated kulima, kama hali ya hewa inaruhusu. hali ya hewa ndio kila kitu,
  3. CHASHA FARMING

    Bado business partnership ni ngumu sana kufanikiwa hapa Tanzania

    Ni ngumu sana kwa Wabongo na hapo ndio watu kama Wachina, Wahindi, Wasomali na Waarabu wamapo tutimulia vumbi. Wabongo tuna tamaa sana asikuambie mtu, kiwango cha tamaa tulicho nacho sio cha hij Sayari ya Dunia. Partinership tuwaachie watu kama Wasomali, Wahindi, Waarabu na hata Wachina...
  4. CHASHA FARMING

    Mazao/Mifugo Under rated inaweza kuwa na faida kuliko yale Over rated ambayo wengi hukimbilia

    We ni mjinga fulani tu unaye vamia post ambazo zinakuzidi uwezo, kajadili mada za Yanga na Simba ndio size yako ama mada za kufamaniana. Katika hayo mazao kuna zao la green House? Sio kila post lazima ucoment
  5. CHASHA FARMING

    Mazao/Mifugo Under rated inaweza kuwa na faida kuliko yale Over rated ambayo wengi hukimbilia

    Mawazo mgando sana, So unatarajia Wanunuzi waje nyumbani kwako kuulizia kama una stafeli wanunue? Ama unatarajia uwaone Barabarani wamesimama wanaulizia stafel? Kwani hayo mazao mengine wakati wa msimu yanauzwa bei gani?
  6. CHASHA FARMING

    Mazao/Mifugo Under rated inaweza kuwa na faida kuliko yale Over rated ambayo wengi hukimbilia

    Kuna Dada mmoja sema nime potezana naye, alianza na Hekari 5 now sijajua. Sasa unazani unalima magimbi hatua 10? Unalima kama comercial mkuu
  7. CHASHA FARMING

    Mazao/Mifugo Under rated inaweza kuwa na faida kuliko yale Over rated ambayo wengi hukimbilia

    Asilimia kubwa ya wakulima lazima utukute kwenye mazao yale Over rated yanayo zalishwa na kila mtu. mazao ya jamii kama Mahindi, Mahargwe, Mazao kama Vitunguu, Nyanya, Tikitiki maji, Maembe na kadhalika. Huko utatukuta kwa wingi sana Utatukuta kwenye mifugo kama Kuku labda na nguruwe na Ng'ombe...
  8. CHASHA FARMING

    Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Ili uwazalishe unatengeneza mazingira sawa na ya kule wanako toka, ni ishu inawezekana. Hata hawa kumbikumbi wanatengenezewa mazingira wanaruka wakati wa kiangazi
  9. CHASHA FARMING

    Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Kuna tasisi moja Kenya nahisi nisha soma andiko lao walisha fanya utafit wake kwa kule Kagera na Uganda pia. na inavyo semekana huwa kabla ya kuruka hutaga mayai kabisa na kuyaacha chini hasa msituni huko wanako tokea. Ni kama nzige walivyo, Ujue nzige wakiruka huwa tiyali wameisha taga na...
  10. CHASHA FARMING

    Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Mkuu hawa Senene ni Dili ingawa sasa kwenye kuwafuga nahisi kuna mazingira lazima uyatengeneze yafanane na ya msituni. Ila all in all Senene ni Biashara na unaweza saga unga wake ujawa unachanganywa kwenye hata unga wa uji, Ugari, unga wa ngano kwa ajili ya vitafunwa na kadhalika. Senene na...
  11. CHASHA FARMING

    Naomba kupata uzoefu kwa wakulima wa dragon fruit!

    Kabla hujalima lazima utambue yafuatayo. 1. Hali ya hewa, Dragon zinataka ukanda wenye jua kari la mda mrefusana. 2. Maji, umwagiliaji ni muhimu sana wakati wa kiangazi hakikisha maji yapo. 3. Aina za Dragon, aina ziko zaidi ya 50 huko, na sio zote ni nzuri kuna mabazo taste yake tu mtu...
  12. CHASHA FARMING

    Vifaa 3 muhimu kwenye utengenezaji wa incubator ya kutotolesha mayai

    Unauzaje controler hio? Ninazo mashine kuhwa but nataka kutengeneza moja ndogo kwa ajili ya mayai ya Bata, make hizi kubwa haziangui vizuri mayai ya Bata
  13. CHASHA FARMING

    Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Wewe ndio unaona wa kipumbavu kwa sababu usha zoe mambo ya ku copy and paste, au mambo ya kuagiza bidhaa China kukuza uchumi wa China
  14. CHASHA FARMING

    Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Senene wanaweza fugwa ni kweli the same na kumbikumbi
Back
Top Bottom