Recent content by charles RMD

  1. C

    GE2025 Jaji Mkuu Masaju ndio atamuapisha Rais Dr SSH kuongoza tena 2025-2030

    Kikubwa tuombee sana amani na utulivu katika taifa letu pendwa ....AMANI AMANI AMANI ...
  2. C

    Kuweni makini sana na hili eneo la Sinza. Kiwanda cha Biskuti zilizochanganywa na Bangi chagundulika Sinza

    Kamishma weka picha zao waz tuzione MRADI NI READY HANDED TUNAWEZA WANANCHI KUKUPA MAHASIMU WAO ILI MTANDAO WOTE UDAKWE , its so so disgusting 1. Kuna regae bar masaki 2. Regea bar BAHARI BEACH UNYNIO BEACH MITAA YA BAR ZA BEACH WANA VUTA HADHARANI na hakuna hatua ebu wavae na vijiwe hivo...
  3. C

    Orodha ya Wabunge wa CCM ambao hawatarudi Bungeni 2025

    1. Mwigullu Amekuwa wa Hovyo sana pale WIZARA YA FEDHA MAMA CHONDE CHONDE 2. Mwana FA 3.Dada wa Temeke 4. Lukuvi imetosha naomba sana ccm 5. ZUNGU 6.LUSINDE 7.MOLLELL 8.NAPE 9.PARESO 10.RIDHIWANI au mama mmoja apungue kuleta good governance 11 Maige miaka na vipindi vimetosha 12 KIGWANGALA...
  4. C

    Tetesi: ununuzi wa umma Mh Rais TRC/PPRA

    Jana wakati wa hotuma ya Mh Rais uapisho wa viongozo mbali mbali kuna sehemu kuhusu maelekezo ya Mh Rais kuhusu matumizi ys sheria za PPRA uachwe, Ushauri wangu kwa jopo la washauri wake wangemsaidia kuhakikisha anasisitiza matumizi ya sheria za umma na kuwepo na uharaka katika utekerezaji...
  5. C

    Hawa na wenyewe wanasema wanataka ubunge ni zaidi ya vichekesho!

    Msukuma ni Mbunge makini sana na anawasilisha hoja zake supa kabisa BABU TALE AKIRUDI BUNGENI NA MWANA FA NAHAMA NCHI USELESS KABISA WASTAGE SPACE. 2. Mwinjuma kaleta shida sana kwenye soka la bongo kwa uchawa wake kasoma IFM ila haijamsaidia
  6. C

    Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

    Pombe ni addiction kama vitu vingine vyote sigara, bangi madawa ya kulevya nk 1. Nimekunywa pombe kwa miaka karibia 50/60 na sasa nimeacha kabisa na nina amani nalala kama mtoto mdogo na bado nakwenda out nakaa na marafiki nawapa offer kama kawaida . 2. HAKUNA KULOGWA NI MIND SET WEWE MWENYEWE...
  7. C

    AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    wamewekeza hela zao na siri za mapato katika ulipaji wa kodi ...bottom of the line kuibia wateja na serikali mapato BIG TIME ...MOST COUNTRIES HAWAWEZI WASHASTUKIWA KIPINDI KIREFU MTN RWANDA NK
  8. C

    Binafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama

    NDIO RAIS WETU ANZA KUTAFUTA kimbilio ...mambo yote kwa hatua yatapata muafaka Gwajima keshasema yatachambuliwa ya muhimu ...
  9. C

    Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

    Mapenzi mwalike pahala for a drink na nyama choma yake pendwa ....mengine yatakuja yenyewe ....
  10. C

    IGP Camillus Wambura afanya mabadiliko kwa wakuu wa kikosi cha Usalama barabarani

    kAMANDA GP Naomba sana kutoa ushauri kwako najua unajua kero hii au hukutani nayo kwa sababu unatumia ridders na road clearance. "KUNA KERO KUBWA SANA KWA VYOMBO HIVYO 1. kUTOFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARNI NA SASA IMEKUWA MAZOEA 2. Hawavai helmets 3.Kupakia mishikaki abiria zaidi ya mmoja...
  11. C

    Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

    Yanga na Simba ni brand builtfor many years kama coca cola ama chai ya pale KT SHOP..
  12. C

    Nani mkweli kati ya Rais Samia na Waziri Bashungwa?

    Wivu tu mwacheni binti joan achape kazi ....
  13. C

    Uhaba wa dawa wamng'oa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya!

    Mzee Pallangyo huwa ni jembe labda awe kabadilika, kaangukia kwa system isiyotekeleza ama kuwa na tabia ya kuheshimu taratibu....madawa yanauzwa na hawana budget ya kyuyalipia...POLE SANA YOTE MAISHA BRO U WILL SAIL BACK
Back
Top Bottom