Kwahiyo TANZANIA ya sasa ni ile aliyoiona OSCAR KAMBONA, HAYATI MWALIMU alikosea sana..
https://youtu.be/40kCCNRyHLs?si=K0PHpjkHgFb1F6hC
Pia viongozi wengi kabla ya kufanikiwa kuwa marais katika mataifa mbalimbali, walikuwa ni askari magereza wa mhumbu na hilo gereza ndiyo linaloongoza kwa...
Askari wa kike akiwa kwenye mzunguko, ina maana amepewa likizo ya uzazi na anatakiwa kufanya CONCEIVING! Askari wa kiume akiwa kwenye mzunguko, ina maana amepewa fursa ya kujiunga na kuajiriwa majeshi mengine endapo kama fursa itapatikana.
Halafu ikitokea askari wa kike amefanya ABORTION na...
https://youtu.be/G1KN1wJ5nIw?si=xr11hZnuw4Eli-UY
YOUTUBE VLOGGERS wanafanya kazi kubwa sana! Hawa wote wapo chini ya usimamizi wa hao watu, wengine walishajisimika machifu kwa upande wa TAIFA LA KONGO na wanachofanya ni kuishi yale maisha ya kuhama hama katika misitu ya KONGO na KAMERUNI...
Rais wote wa GAMBIA ni wanafunzi wa shule ya TANGA TECHNICAL na bado wana watu ambao wanaweza kuwajenga na kuwafanya kuwa viongozi wa taifa hilo!
Sema kwa miaka ya hivi karibuni, TANGA TECHNICAL imekuwa ikipata shida kwenye mitihani ya moko, maana ukiwa pale TANGA kuna shule kama GALANOS na...
Wenzenu wakishafanikiwa kuingia kwenye "PAYROLL" ya serikali huwa hawaonekani mitaani na wanaonekana kwa matukio tu!
Ukiwa kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, watu huwa wanaonekana muda wa kufanya mazoezi na kujiandaa na masuala mengine.
Ikitokea ni ajira za mzunguko, kwa upande wa jinsia...
Wenzenu huwa wanapokea video kila siku zinazohusu TANZANIA kupitia YOUTUBE na sasa hivi wameboresha, kuna RECOMMENDED DOWNLOADS na SMART DOWNLOADS..
https://youtu.be/2bT7FK7HWVA?si=JPNqW93rNBocgBCN
Ikitokea muajiriwa amefanya vile pasipo kuwa na kibali kutoka serikalini, huwa hapati mafao...
Hata wanenguaji wa TWANGA PEPETA walikuwa siyo! Wakina JESSICA CHARLES wote walikuwa siyo wenyewe.. 🙏🏽
Sasa hivi wanadanganywa sana, unajua kuna baadhi ya jamii ziliacha utamaduni wa kitanzania na kuamua kuiga utamaduni wa kikongo na kihutu na jamii zote zimeanguka! Kwahiyo wanachofanya sasa...
Hata wakina LUPITA NYONG'O ni MASWA! Wenyeji wa asili wa WILAYA YA MASWA walikuwa wakiishi kwa muda mrefu pale ISAKA kabla ya kuhamia nchini ZIMBABWE na GUINEA BISAU. Hao ndiyo walionzisha ISAKA na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ndiyo walionzisha kijiji cha NATA kabla ya kuhamia...
Pia kazi ya JESHI LA UHIFADHI huwa ni kusimamia na kuratibu shughuli zote za WIZARA YA AFYA! CGC ndiyo anayeongoza WIZARA YA AFYA na WAGANGA WAFAWIDHI wote huwa wapo chini ya ofisi ya RCO MKOA.
Ikitokea magonjwa ya milipuko kwa upande wa binadamu, wanyama na mimea kitengo kinachowajibika huwa...
Hii pia huwa ipo chini ya JESHI LA MAGEREZA na RPO ana uwezo wa kukataza, kuzuia na kupiga marufuku katika mkoa wake, maana raia wanaoruhusiwa kufanya hivyo huwa ni wale watu mashuhuri, wanasiasa pamoja na wale viongozi wa kitaifa walioshika zile nyadhifa tano [5] za juu kutokana na sababu za...
MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo yameshikilia sekta ya elimu ya msingi na elimu ya sekondari! Pia masomo yote yaliyosalijiwa katika MTIHANI WA TAIFA huwa yanatoa viongozi wa kijeshi kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].
Ukisikia jamii fulani katika taifa fulani...
JOAO BERNARDO VIEIRA! Huyu alikuwa ni rais wa GUINEA BISSAU na alisoma shule ya msingi ya MWENGE inayopatikana SHINYANGA MJINI na alikuwa ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA MASWA. Kwahiyo shule ya msingi ya MWENGE ilikuwa inatoa marais wa ZIMBABWE pamoja na GUINEA BISSAU...
Video zipo nyingi! Sema wenyeji wa asili wa SHINYANGA kwa ujumla, wanayafahamu haya masuala tangu siku nyingi na ndiyo maana huwa wanafuatilia matokeo yao ya mitihani ya taifa ili kufahamu nafasi zao katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
https://youtu.be/TJtBM46tFoE?si=4jWZUlQ0IcF9ceH_
Wenzenu...
Wenzenu huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na kazi ya BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] huwa ni kusimamia na kuratibu shughuli zote za mitihani ya taifa, lakini kazi ya kutunga mitihani ya taifa huwa inafanyika chini ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.