Recent content by CHANANJA THE BIG DYNASTY

  1. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    kwanini ni rahisi sana kuwatapeli watanzania?

    Tatizo la wabongo wengi,wanapenda maisha ya kudownload for free km nyimbo za waptrick yani $OFT L!FE.uvivu tu wa kufikiri kwa kwa KINA.
  2. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Picha Halisi ya Bwana wetu Yesu Kristu.

    Huyu atakuwa yesu wa huko nanjilinji.
  3. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

    siku hizi K ni biashara inayowalipa vyema warembo,zipo za bei tofauti ni wewe tu na mfuko wako kiongozi.hakuna K ya bure hapa duniani tena.Kee wote wanauza Kei.
  4. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

    Msinichoshe,kapo zote zina furaha tu, ebooh
  5. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

    Hoja yake ina MANTIKI kubwa sana,ni UPUMBAVU wa hali juu kuchangishana fedha kwa ajili ya starehe za wengine.kila mtu apambane na hali yake kwenye starehe zake.
  6. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

    Umekwama sana master,hiyo bill ungetafuta kuku wawili watatu wa kienyeji wakina nuzlat,naah,na fetty hapo mwananyamala uswahilini uswazi mbona wangekutibu haja zako.
  7. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

    Mtaani wana msemo wao eti, tafuta P£$A,UNGA sio AKIBA.
  8. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

    Kama ndio hivi,basi wanawake wote wanauza KUMAliza, hawataki kubakisha.
  9. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Tiwa Savage; Sijui kwanini, natongozwa zaidi na wanawake kuliko wanaume

    Ana sura ya kiume,ndio maana wanamtaka ili awakoboe na kuwasaga.
  10. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Rafiki yangu anawaza kuvunja ndoa, lakini nyumba yake alijenga kwenye kiwanja cha wakwe, afanye nini?

    Asivunje nyumba,hiyo ni kwa ajili ya watoto wao.aachane nae kwa heri kabisa,akaanze maisha mapya mbele ya safari.kubomoa nyumba ni US*NGE ilhali wana watoto.
  11. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Ukiona mwanamke anamtukana na kumsema vibaya sana Ex wake ishi nae Kimasta, mjifunze kutoka kwa Chanuo

    Huyu demu ana sura mbaya km mkanda,mkende,mkindi,mkondo, mk*nd* Hata bure sipigi.
  12. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Haitoshi kulipenda gari lichunguze linachukuliwaje na jamii, kuna magari ambayo yamejipatia umaarufu kutumika na watu tofauti na ulivyo

    Japo sina chombo cha usafiri kwa sasa,lakini hata nikiwa na PA$$O inayofungwa kwa KOMEO km mlango wa nyumba, fresh tu.chamsingi nizungukie mishe zangu zote vizuri.
  13. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

    Wanawake wanapambana sasa,wengi wao wanajitambua na wameelimika,so wana weza kuhustle na wakawin batle. #NAWAPONGEZA. japo kuna baadhi yao wanatumia njia haramu km kutoa kinyeo ili kujipatia mali.
  14. CHANANJA THE BIG DYNASTY

    Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana?

    hiyo inaitwa miili ya kunuka yenye harufu kali mno,mtu mwenye akili timamu km mm hawezi kudate na aina hiyo ya wanawake coz hawako vizuri kichwani.wanaringia MATAYO ambayo hayana faida yoyite kiuchumi labda kwa wafir*ji tu.
Back
Top Bottom