Recent content by Challes Joseph

  1. C

    Dirisha la usajili kwenye vyuo vinavyo toa ordinary diploma in electrical engineering lipo wazi?

    Samahani kwa anayejua kuhusu mwenendo wa dirisha la usajili kwenye vyuo vinavyotoa ordinary diploma in electrical engineering, naomba kujua kama bado nina muda wa kutuma maombi au muda umeshaisha saivi.
  2. C

    Je, naweza kujiunga na Diploma ya Electrical Engineering?

    Asa Nashukuru kwa maelekezo yako sasa napenda kuuliza nichuo gani kinapokea kwa kizingatia vigezo nilivyo navyo mimi
  3. C

    Je, naweza kujiunga na Diploma ya Electrical Engineering?

    Veta huwa kuna masomo ya ziada tofauti na fani unayosomea sasa miongoni mwahayo masomo moja wapo huwa ni engineering science ambayo husimama kama phys o level
  4. C

    Je, naweza kujiunga na Diploma ya Electrical Engineering?

    Sawa nashukuru kwa majibu yaka kiongozi lakini mimi nahisi kama nimepoteza sifa za kuendelea mana sikufanikiwa kusoma fizikia shule ya upili
  5. C

    Je, naweza kujiunga na Diploma ya Electrical Engineering?

    Mimi nimehitimu mafunzo ya ufundi umeme level 3 nilikuwa naukiza kama naweza kujiunga na mafunzo ya electrical engineering ngazi ya diploma
Back
Top Bottom