Recent content by Chagga King

  1. C

    "Vacancy not budgeted" ni kichaka kipya cha kuminya haki ya uhamisho kwa watumishi wa umma kupitia mfumo wa ess.

    Watumishi wengi wanaacha kazi kwa sababu ya hii changamoto, familia nyingi zinafarakana kwa sababu ya hii changamoto, rushwa na utapeli unachochewa kwa sababu ya hii changamoto, haiwezekani halmashauri zote ndani ya mkoa mmoja zikawa hazina budget. Inadikitisha sana. Mtu anaomba uhamisho kwa...
  2. C

    Utaratibu wa NMB wa kuchukua mkopo ukiwa na mkopo tayari unaumiza

    Jamii Forums siku hizi imevamiwa, majibu ya hovyohovyo tu, mtu anauliza kistaarabu ww unamuambia "Kwani umelazimishwa ku top up", mwingine "Wewe una kichwa kizito, hata nikueleweshe mpaka asubuhi huwezi elewa, mara Mimi sijui ni mvivu ku type" dah! Kama huna information sahihi, ni vyema ukawa...
  3. C

    DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Kwahiyo walioweka hizo percentage ni wajinga kwamba hawapati wateja, try to understand
  4. C

    DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Hiyo picha nimeweka ni mfano ukitaka kuchukua mkopo wa 10yrs, wala siyo ya mkopo halisi, kama huelewi omba uelekezwe, usikurupuke kutoa majibu ya hovyo. We umeona kuna mkopo uliochukuliwa hapo?
  5. C

    DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Umesema vizuri sana, ila nataka nikuambie kuwa, kuna watumishi wengi sana ambao wametupwa mbali na wakati. Kuna watumishi hawawezi kujaza PEPMIS au kutumia tu ESS, kutuma email, n.k. Na kwakuwa uombaji wa mikopo wengi hufanya siri, sasa hapa ndio wengi huumizwa, we jiulize tu kama zipo taasisi...
  6. C

    DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Haha! Wangeweka maximum 3yrs, 10yrs ni tatizo, unakuwa umejipiga pin, na mkopo wako ukifeli mipango ujue ndo gudu bayi
  7. C

    DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Salaam! Kuleta mfumo wa ESS ni jambo zuri hasa katika uombaji wa mikopo binafsi. Tatizo lililopo, watumishi wengi hawana uelewa wa athari za hii mikopo, maana imefikia mpaka 40% ya riba. Unakopa 16M, unapewa 14M then unalipa 70M wao wanapata 50M+ Serikali kupitia Utumishi, mmesajili taasisi...
  8. C

    Naenda na Dotto Biteko Uwaziri Mkuu Katika Baraza lijalo la Mawaziri

    Huo hauwezi kuwa utabiri, huwezi kutabiri kuwa jiwe likirushwa lazma litarudi chini
  9. C

    Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

    Mtu ambaye hana athari yoyote ndo umwandikie uzi mrefu hivyo
  10. C

    Kujiuzulu ni hadi aliyekuteua aridhie ndio sababu Lowassa alijiuzulu mbele ya Wabunge waliompigia Kura awe Waziri mkuu!

    Kajiudhulu lini!? Maswali mengine ni non sense, unajua kabisa tunaye makamu wa Rais mpaka sasa halafu kweli unakuja kuuliza swali la namna hii?
Back
Top Bottom