Recent content by Cesar Caspar

  1. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Bellingham ameonyesha ubinafsi mkubwa sana, nafasi kama zile sio za kuchea, maana huzipati mara kwa mara
  2. C

    Formula 1 GP: Max Verstappen leo Kashinda Bahrain GP. Ni ushindi wake wa Kwanza kwa msimu wa 2026.

    Ni kweli kabisa, maana walioanza ja soft wote lap ya kwanza ama kwenye ile formation lap walibadilisha, ila mwishoni karibia wote walimaliza na soft, mbio za vurugu vile huwa ninazopenda sana, mbio za namna hii tumezoea kuziona Mexico na Brazil.
  3. C

    Formula 1 GP: Max Verstappen leo Kashinda Bahrain GP. Ni ushindi wake wa Kwanza kwa msimu wa 2026.

    Hamilton leo kanifurahisha sana,sikutegemea kama angepata hata nafasi ya 5, ila alionyesha uvumilivu mkubwa sana, maana wenzie walibadilisha tyre ila bado akakomaa na soft,
  4. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mkuu habari, karibu tena kwenye uzi wetu pendwa, imekuwa kitambo sana Mzee
  5. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nimefurahi kuona sasa tuna aerial threat, kitambo sana tokea Ramos aondoke hatukuwa na vijana wa kufunga mipira ya juu, ila huyu Dumfries ameonyesha ana kitu
  6. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mbappe pale alikuwa mchoyo, alishindwa nini kucheck wenzake?
  7. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tumekosa goli nyingi sana za wazi
  8. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    FT : Real Betis 1-0 Real Madrid
  9. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kila kitu kimekataa leo,
  10. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kuna article niliisoma leo mchana kwenye AS sport, inasema, 'I hate Fridays " hapa ndio nimeelewa
  11. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hii game imetukataa man,
  12. C

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Noma sana man
Back
Top Bottom