Recent content by castongo

  1. C

    Wanamuziki wa Nota tuzungumze kuhusu Tuning fork: Kifaa cha zamani ambacho nadhani bado kina maana leo

    Hapo kila ilipo (na ni hiyo yenye rangi nyekundu) Tunza sauti ilipo kisha panda au shuka kwa solfage, kama nilivyoziweka upande wa kushoto, ukifika kwenye ufunguo unaotaka itulize sauti hapohapo, kisha anza Do. Ni do ya ufunguo husika.
  2. C

    Wanamuziki wa Nota tuzungumze kuhusu Tuning fork: Kifaa cha zamani ambacho nadhani bado kina maana leo

    Leo baada ya kuzunguka zunguka nimegundua kumbe nina filimbi zile zinazouzwa na wamachinga barabarani, zile za plastiki, zenye matundu sita ya kuziba kwa vidole. Nikiziba matundu manne ya juu na kupuliza kwa pumzi ya kawaida napata exactly A. [LA ya natural] Nimeipima kwenye kinanada ni...
  3. C

    Wanamuziki wa Nota tuzungumze kuhusu Tuning fork: Kifaa cha zamani ambacho nadhani bado kina maana leo

    Utangulizi Kabla sijaanza kujifunza kusoma nota, siku moja alifika mwalimu mmoja kutufundisha nyimbo. Mkononi alikuwa na kifaa kidogo, ambacho kila mara alijigonga nacho kichwani na kukisogeza karibu na sikio kukisikiliza. Inaonekana kilitoa mlio unaompatia mahali pa kuanzia wimbo.Kifaa hicho...
  4. C

    Msaada: Naomba ushauri wa namna ya kutoka kimziki

    Hapo, ni kuwasiliana na watu ambao, kama wewe unavyojaribu kuimba, nao pia wanajaribu au walijaribu kutengeneza muziki. Sio rahisi kukutana na mtaalam kabisa maana hatakua tayari sana kukupa muda wake na resources zake bure. Wapo watu wanaochezacheza au waliochezea DAWs kama cubase, abelton...
  5. C

    Mazoezi ya Ndani: Zoezi la kuruka kamba

    Bas wewe ni kama mimi. Nilikua nafanya jogging pia, lakini bila kujua nimekimbia km ngapi ilikua inaniwia ngumu sana. Kwakweli hiyo arm band haifanyi chochote, maana ni kamkoba tu kenye velcro patches ka kuvaa sehemu ya juu ya mkono na ndani ya hako kamkoba unaweka simu yako. Click hapa uone...
  6. C

    Mazoezi ya Ndani: Zoezi la kuruka kamba

    Tangu nilipogundua umuhimu wa mazoezi kwenye mwendo wa kawaida wa maisha, nimejaribu hili na lile, kuona linalonifaa zaidi. Katika jaribujaribu mara kwa mara nimeongeza vikolezo mbalimbali kwenye mazoezi yangu na kuyaboresha kidogo. Nimeongeza vikolezo hivyo kwa malengo ambayo binafsi nayaona...
  7. C

    Bluetooth keyboard - Logitech K380 kutoka Ali-express

    OXYSPR STATION Store - Amazing prodcuts with exclusive discounts on AliExpress Ila ukisaka kwenye wauzaji wengine ndani ya Aliexpress unaweza kuona bei tofauti tofauti. Wengine wanakua na bei kubwa kwenye kifaa chenyewe na bei ndogo kwenye shipping. wengine wanakua na bei ndogo kwenye kifaa na...
  8. C

    Bluetooth keyboard - Logitech K380 kutoka Ali-express

    Ni shilingi 96,659 za Kitanzania. Kila kitu pamoja na usafiri, hadi inafika.
  9. C

    Bluetooth keyboard - Logitech K380 kutoka Ali-express

    96,659 Tsh Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    Bluetooth keyboard - Logitech K380 kutoka Ali-express

    96,659 Tsh Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    Bluetooth keyboard - Logitech K380 kutoka Ali-express

    Kwa muda nimekua nikisaka bluetooth typing keyboard nzuri, kiasi kwamba nikiingia kwanye maduka ya vifaa hivyo wakiniona tu wananiambia "Keyboards hazipo". Mara nyingine nimejaribu kununua keyboard flan halaf sikuridhika. Kila mara nimewapa challenge kuwa hawaleti keyboard nzuri sokoni. Majibu...
  12. C

    Mfahamu mtunzi mahiri wa nyimbo za kikatoliki marehemu John Stephano Mgandu

    Asante sana kwa Post hii. Nilikua nasikiliza muziki wake mahali, nikaona link hii KABILA LANGU
Back
Top Bottom